Hizi hapa ni sababu za kwanini Sosha hawezi kuipa ubingwa Manchester United

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Katika tathmini ya makocha nimejaribu kuftizama kwa mapana ni wap makocha huwa wanakosea.nimegundua ni rahisi kocha kuipeleka timu kileleni lakini na vigumu kocha kuchukua ubingwa.vitu ambavyo kocha anatakiwa awe navyo ili abebe ubingwa ni kwanza kocha lazima awe na hesabu nyingi sana kwenye ubingwa hesabu hizo ni pamoja na kuangalia katika fixture yake ni mwezi miezi gani ana game ngumu na ni miezi gani ana game rahisi pia ni miezi gani ana game nyingi za nyumbani na miezi gani ana game nyingi za ugenini. pili kitu ambacho kocha anatakiwa awe nacho ni kuwa na kikosi kikubwa kwa nafasi zote uwanjani na pia wachezaji wewe world class and average.

Pia aweze kufanya rotation ya wachezaji katika michezo yote ya msimu. tatu kocha anaitaji awe na experience na league lakini pia awe na experience na ubingwa na hii ni muhimu sanaa.

Unaweza kuishia nafasi nne za juu bila kuchukua ubingwa kama hautakuwa na hivi vitu.ukiangalia ligi kuu ya uingereza solskajael sifa hizi hana na ndo maana ameshindwa kumaintain.ukimuangalia brendan rogers amekosa sifa hizi ndo maana ameshindwa kumaintain. thomas tuchel anazo hizi sifa japo sio zote amekosa experience lakini kama angekuja msimu uliopita angekuwa tittle contender. jugen klop anazo hizo sifa tatizo lake ni timu imapaform misimu minne ikiwa kwenye peak na hajapumzuka timu imechoka. guadiola anasifa zote na ndo maaana amekua akidomonet kwenye ligi ya england tangu amefika.

Mimi ni shabiki mkubwa wa manchester united. Lakini nimejaribu kuongea ki mpira zaidi. So sitashangaa kama manchester utd,leicester,chelsea na west ham zikigombania top four hata kama zimewahi kuongoza ligi.

Note ni rahis carlos Ancelot kubeba ubingwa akiwa na everton lakini ni vigumu manchester united kuchukua ubingwa akiwa na ole solskajael .coz Calos Ancelot ana sifa zote kasoro experience..

nimejaribu kuchambua sifa za makocha next time nitachukua nafasi kuchambua timu zenye ywezo wa kuchukua ubingwa.
 
Umechambua matembele, bila shaka umeanza kuangalia mpira 2018. Rodgers ni mkongwe alishakuwa kocha wa liver na aliukosa ubingwa wa epl kimaajabu. Ancelot hapo umeingia chaka bovu huyo ni kocha mkongwe duniani ameshabeba uefa za kutosha akiwa ac milan enzo za kina seedorf, kaka, shenko acha tu.., amefundisha madrid akabeba uefa, amekuwa kocha chelsea akabeba epl, psg. Hana experience kivipi?
Tuchel unaijua historia yake..
Huyo klopp timu imechoka kwani city hawajachoka
Pep ni kocha mzuri akipewa ready made players
 
Back
Top Bottom