kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
Tunatapatapa, hivi bado ndege ngapi kuwasili? Maana tumechoka na hotuba za kupokea ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliyotulisha nyasi ilikuwa ni fokker?Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Mramba bhana, sijui aliwaza nini kuongea ule utumbo, eti hata ikibidi watz tule nyasi ni lazima ndege ya Rais inunuliweIlikuwa hatari utakula nyasi lakini ndege inunuliwe
Hata mimi nilitaka kushangaa, Fokker haikutulisha nyasiHapana siyo mkuu, ile ni 5H-ONE
Na bado kuna Bombardier Q400 inakuja mwisho wa mwaka huu, na kuna Dreamliner 737 inakuja tena mwanzoni mwa mwakani
Hahaha ....dah hii nchi bana! Umenikumbusha Mramba enzi zake.Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Rais ataendelea kuitumia, hizo mbili ndio kagawaUko sahihi.
Ile iko wapi?
Mwisho watu 18 tu mkuu, hapo abiria ni 14 na wahudumu 4 basi.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Ila Magufuli pamoja na mapungufu yake lakini anapiga mzigo. Hakuna aliyetegemea ndani ya miaka mitatu kufanya haya. Sasa atoe uhuru wa siasa, bunge live na katiba mpya amalize kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliyotulisha nyasi siyo hiyoHii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Nafikiri ni suala la vipa umbele tu. Wale wengine baada ya Mwinyi sidhani kama wangeshindwa.Ila Magufuli pamoja na mapungufu yake lakini anapiga mzigo. Hakuna aliyetegemea ndani ya miaka mitatu kufanya haya. Sasa atoe uhuru wa siasa, bunge live na katiba mpya amalize kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kiwanja cha katavi na icho cha mwanza viko sawa😁😁😁 kwani mikoa mingine viwanja vipi maana 😁😁😁
Tunatapatapa, hivi bado ndege ngapi kuwasili? Maana tumechoka na hotuba za kupokea ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Transmitter................Hapana siyo mkuu, ile ni 5H-ONE
Ile iliyotulisha nyasi? HahahahaJe picha ya ndege ya tatu ???
Daah, hiyo business class ililiwasha watu nyasi bila kupendaJamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,
Yenyewe ni Gulfstream G550
Usajili wake ni 5H-ONE
Picha yake
View attachment 992064
Ndege iliyotulisha nyasi Watanzania na kupokelewa na Lowassa miaka ile inaendeleaje? - JamiiForumsHii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.