Hizi hapa ndege za Fokker 28 na fokker 50 ndege za Rais TZ Magufuli

Jamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,

Yenyewe ni Gulfstream G550

Usajili wake ni 5H-ONE

Picha yake
56418_1369928430.jpg
 
Hata Ni naijua hi ndo alinunua maramba inauwezo wa kupiga dar to London bila ya ku refuel popote nilipocheck sifa zake kipindi kile nikasema hii ni asset na si liability Ila hayo mapanga boi yapelekeni to ATCL yatubebe ili tusafishe nyota
Jamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,

Yenyewe ni Gulfstream G550

Usajili wake ni 5H-ONE

Picha yake
View attachment 992064

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukweli ni kuwa, uwanja wa ndege wa Mwanza ndiyo wenye abiria wengi zaidi hapa tanzania ukitoa wa Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Kilimanjaro international airport ndiyo ina abiria wengi baada ya Dar. Watalii wote hushuka hapo na kuna ndege nyingine zikitua hapo hazifiki Dar. Ikishuka KLM na Ethiopia unaongelea 500+ bado za kukodiwa kwa watalii(chartered plane) na local airlines
 
Back
Top Bottom