jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Kia, songwe.๐๐๐ kwani mikoa mingine viwanja vipi maana ๐๐๐
Kia, songwe.๐๐๐ kwani mikoa mingine viwanja vipi maana ๐๐๐
KIA & SONGWEkwani mikoa mingine viwanja vipi maana
Dah nimecheka sana Japo sio hiyo ndege ni nyingineHii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Mkuu ukweli ni kuwa, uwanja wa ndege wa Mwanza ndiyo wenye abiria wengi zaidi hapa tanzania ukitoa wa Dar es salaamKwa nini mwanza? Acheni ubaguzi nyie wasukuma.
Jiwe balaaaJamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,
Yenyewe ni Gulfstream G550
Usajili wake ni 5H-ONE
Picha yake
View attachment 992064
Bagosha Keyboard bado inakusumbua au tatizo auto correction?๐๐๐Watupunzie nauli tu dar mwanza iwe elfu hamsini one route ili watanzania tufurahi na kila mtanzania apande ndege
Wapi yooooonaaaaaah na 2 pesaaaaaa.Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Jamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,
Yenyewe ni Gulfstream G550
Usajili wake ni 5H-ONE
Picha yake
View attachment 992064
Asante umeitambua.Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Ewaaa....hii ndio nnayo itafuta. Ikiwezekane hata rangi waturuhusu tuipake wenyewe ili tuanze nayo misele.Jamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,
Yenyewe ni Gulfstream G550
Usajili wake ni 5H-ONE
Picha yake
View attachment 992064
Ina uwezo wa kubeba msafara wa Rais wa watu wangapi?Jamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,
Yenyewe ni Gulfstream G550
Usajili wake ni 5H-ONE
Picha yake
View attachment 992064
Hapana. Kilimanjaro international airport ndiyo ina abiria wengi baada ya Dar. Watalii wote hushuka hapo na kuna ndege nyingine zikitua hapo hazifiki Dar. Ikishuka KLM na Ethiopia unaongelea 500+ bado za kukodiwa kwa watalii(chartered plane) na local airlinesMkuu ukweli ni kuwa, uwanja wa ndege wa Mwanza ndiyo wenye abiria wengi zaidi hapa tanzania ukitoa wa Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app