mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 823
- 1,335
Hizi ndio ndege za Rais kama ulikuwa huzijui, Rais Magufuli kasema zipakwe rangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.Hizi ndio ndege za Rais kama ulikuwa huzijui, Rais Magufuli kasema zipakwe rangiView attachment 992019View attachment 992019View attachment 992020View attachment 992020
Unamanisha ya Enzi zile "Hata wananchi Wale nyasi ndege ya Rais lazima inunuliwe " Au unamaana ipi mkuu?Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Hapana siyo mkuu, ile ni 5H-ONEHii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Uko sahihi.Hapana siyo mkuu, ile ni 5H-ONE
Ndio ile ya Mramba, nimecheka sana.!Hii ya chini ilitulisha nyasi, ni zamu yetu.
Ipo anatumia mama samia mara nyingiUko sahihi.
Ile iko wapi?
Kwa nini mwanza? Acheni ubaguzi nyie wasukuma.Watupunzie nauli tu dar mwanza iwe elfu hamsini one route ili watanzania tufurahi na kila mtanzania apande ndege
Basi itakuwa ndege imara sana kama bado inapiga shoo.Ipo anatumia mama samia mara nyingi
😁😁😁 kwani mikoa mingine viwanja vipi maana 😁😁😁Kwa nini mwanza? Acheni ubaguzi nyie wasukuma.