Hizi Govt. skul ada bure, walimu 0, lakini wana matokeo safi, achaneni na wanaolipa 3 mil

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Jamani kuna shule za serikali, tena mzazi aingii garama hata kidogo, yani ada bure, chakula ugali na maharage ya kuchemsha., hakuna walimu, maabara mbovu lakini wamefaulu vizuri. mi nawashangaa mnawasifu watu wanalipa ada mil 3, walimu wapo wa kutosha , maabara safi, mazingira safi. hao wanabebwa sana sio kwamba wana akili, sasa cheki matokeo ya watoto ambao mzani hajaingia gharama zaidi ya laki 5 form 1 had 4, linganisha na hao wa mil 15 miaka minne wa kubebwa, kusoviwa past paper

KIBAHA DIV-I = 72; DIV-II = 22; DIV-III = 4; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0

MZUMBE DIV-I = 73; DIV-II = 24; DIV-III = 12; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0

ILBORU DIV-I = 57; DIV-II = 34; DIV-III = 12; DIV-IV = 4; DIV-0 = 0

TABORA DIV-I = 49; DIV-II = 35; DIV-III = 5; DIV-IV = 5; DIV-0 = 0

WAPENI HONGERA

Wewe acha ujinga,hivi kweli kabisa wewe na pesa zako umpeleke mwanao akagombanie vyoo na kukalia jiwe utafikiri yupo jeshini wakati yupo masomoni ......Sasa mzazi unatafuta pesa za nini kama uko tayari mwanao ateseke na uwezo unao ......??
 
hivi unadhani shule ulizozitaja watu wanaenda kiboya? hizo shule mzazi yeyote atampeleka mwanae akiona amepata mana zinafahamika kwa ubora tangu enzi na si hizo za kata.
 
Wewe acha ujinga,hivi kweli kabisa wewe na pesa zako umpeleke mwanao akagombanie vyoo na kukalia jiwe utafikiri yupo jeshini wakati yupo masomoni ......Sasa mzazi unatafuta pesa za nini kama uko tayari mwanao ateseke na uwezo unao ......??
labda za kuwaringishia majirani kama anazo.
 
Bido shule za serikali zinajenga watanzania halisi na tukizichukulia kama ni zetu wala haziwezi kuwa na hali mbaya. TuTofautishe real na artificial. Za kwetu ni for t
Tanzanian life and they are ours
 
Hivi hizo si ndio zile special schools? Yaani wanachukua cream tu!! Sasa hapo ajabu nini? Ungetoa mfano wa hizi kajamba nani angalau ingekuwa na mashiko.
 
Hivi nivile vicha ambavyo vimegoma kufukiri yaani huongea kilicho mdomoni wewe endekeza starehe halafu mpeleke mwanao shule ya kata kuonana jumapili ukivizia namna yakutoka halafu subiri matokeo

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Haya mkuu, hata hii ndiyo moja ya shule hizo hizo za serikali tukufu. Hizo shule ulizoorodhesha hapo zina sifa binafsi mkuu.

IMG_20170201_201257_857.JPG
 
Jamani kuna shule za serikali, tena mzazi aingii garama hata kidogo, yani ada bure, chakula ugali na maharage ya kuchemsha., hakuna walimu, maabara mbovu lakini wamefaulu vizuri. mi nawashangaa mnawasifu watu wanalipa ada mil 3, walimu wapo wa kutosha , maabara safi, mazingira safi. hao wanabebwa sana sio kwamba wana akili, sasa cheki matokeo ya watoto ambao mzani hajaingia gharama zaidi ya laki 5 form 1 had 4, linganisha na hao wa mil 15 miaka minne wa kubebwa, kusoviwa past paper

KIBAHA DIV-I = 72; DIV-II = 22; DIV-III = 4; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0

MZUMBE DIV-I = 73; DIV-II = 24; DIV-III = 12; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0

ILBORU DIV-I = 57; DIV-II = 34; DIV-III = 12; DIV-IV = 4; DIV-0 = 0

TABORA DIV-I = 49; DIV-II = 35; DIV-III = 5; DIV-IV = 5; DIV-0 = 0

WAPENI HONGERA

Wew vip,, hivi kwa akili yko unadhani kupata nafac ya mwanao kusoma hapo ni rahisi hivyo?

Ukibahatika mwanao kupata nafasi ktk moja ya shule hizo basi jione kama wew ni mwenye bahati sn,,
 
Elimu bure elimu bomu.kila siku walimu wanapeana zamu ya kuuza bagia pipi visheti ili wacheze michezo ya upatu wakalipe ada za watoto wao Feza na Tusiime kijumbe mwl mkuu wao wapo busy na yao watoto wenu mtajua wenyewe
 
Back
Top Bottom