Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Duh! Acha nikomae tu na boxer
Komaa nayo tu.Kuna siku kadhaa namtokea manzi fulani lakini kazuzuka na jamaa wa ki-baby walker.Nilikuwa naenda kwa mguu na kuzuga maeneo hayo kaniona fala.

Nilimtokea kitu cha mjerumani kila mara maeneo hayo kama vile sina stori naye.Kaingia kingi na kushoboka nikaenda kumla kama x 2 hivi nikapiga chini.

Kila siku simu simu,sms sms mimi wala sijali.Mwishowe nikamwambia aendelee na jamaa wa vi-baby walker.Na tunaonana kila mara na wamerudiana na fala mwenzake.

Sitakagi ujinga mimi.

Mademu wengine wajinga sana kwa kushoboka shoboka bila kujiuliza.

Wamaume msiweke kambi za kifala,utazunguka bucha zote lakini nyama ni zile zile!!!!

Tusipotoshane,ukimwi bado upo!!!
 
Tusipotoshane,ukimwi bado u
 
Ndio hivyo mkuu.
maana kwa mfano ukiwaelezea kuhusu mshahara wako watajitokeza watu na kusema wanapata mara 10 ya wewe,na watajitokeza wengine na kusema huo mshahara wako wanaingiza kwa siku moja tu.
Lakini ukifuatilia uhalisia kumbe hata elfu 10 hana.
Ha ha ha
 
Hiyo ndio jf mkuu, ukiwa humu ndani usishangae kusikia kijamaa kina ponda vibaby walker, na wakati huo mpondani ameka sebuleni kwa shemeji yake na usijuye ndio kamaliza kunyoosha nguo za mume wa dadaake
Daah mkuu taratibu naona shemeji anapiga honi hapa,acha nikamfungulie geti then nioshe hii gari yake huku nikiomba aniwekee ule wimbo wa SITABAKI KAMA NILIVYO wkt namuoshea ndinga yake aisee.
 
Una akili wewe?

Sasa unafananisha barabara za Europe na makorongo ya Bongo?

Hapa Bongo lami ipo sehemu ngapi, gari Hata ukiambiwa upeleke kilo 25 ya Mchele kwa mama mkwe haiendi inashuka usawa wa lami, hapo hujaingia local roads kijijini
Wewe unaishi bongo sehemu gani? Tuanzie hapa kwanza?
 
Mkuu pole sana ila ndo ukweli. Haka ka gari ukiacha maelekezo home wakaoshe utakuta beki 3 kakatenga kwenye beseni anakasugua na dodoki. By the way hivi haka ukipiga honi kuingia home wanalazimika kufungua geti lote kaingie au inatosha kufungua kile ki mlango cha geti kidogo kwa ajili ya matumizi ya watu?
Yani nina haka kagari na nakapenda mno, ila umenichekesha sana sana eti ukipiga horn wanalazimika kufungua gate. Ukweli ni kwamba nakapenda kwakuwa kanarahisisha gharama za maisha, ila hakana nguvu hakako comfortable kama BMW 5 series nililowahi kabla sijayumba kidogo
 
Back
Top Bottom