EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,563
- 1,886
Habari wakuu.
Mmebarikiwà sana na Mungu WA Mbinguni.
Nilileta thread moja humu kuhusu kutokuwa na mapenzi na mama yangu. Nilipata kitu kikubwa toka kwenu. Ngoja Leo niwashirikishe na hili la Mzee wangu.
Mzee wangu alikuwa ananikubali Sana sana kitu ambacho niligundua kulikuwa kinatishia masirahi ya baadhi ya ndugu zake hasa shangazi zangu na ma mdogo ambaye alimpindua mama.
Mikakati mingi Mzee alikuwa akinishirikisha mpka kuwaongoza madogo pale home.
Kuna tukio lilitokea home Yule ma mdogo alikuwa na mdogo wake pale home mdogo sn kwangu maana alikuwa kidato cha pili Mimi ndo nmehitimu yaani nimegraduate mwaka huo.
Yule dogo alikuwa na kiburi sana aisee japo kwangu haikuwa shida maana alikuwa anavuta mpk bangi na ni mtoto WA kike. SKU moja nilikutana Naye njiani akanipta Tu Hana hbr mmmh nikamulza mbona hatupeani salamu eeeh kajibu hovyo kweli nilikawasha kibao Kila mtu akaendelea na Safari yake.
Eeeh kumbe kakaenda kushtaki Kwa Dada ake ambaye ndo ma mdogo kwamba nimekapga mi sina hili wala lile kumbe kuna bifu zito Kati yangu na ma mdogo Ila hasemi mara akampanga Mzee.
SKU moja kukawa na Ka kikao home yaani familia yote msemaji mkuu ni Mzee nashangaa kinachozungumziwa ni Mimi kumuwasha kibao Yule dogo hapo zmeshapita wk kama mbili tokea tukio like kutokea.
Mzee akawa ananimind sana mbele ya madogo bnafs skujibu kitu kbs Nikawa kimya Tu mpk kikao kikaisha nikaenda zangu kulala maana home kulikuwa na nyumba ndogo nje ambapo nilikuwa nalala Mimi na kubwa inalala familia.
Tokea kipindi hicho kukawa kama kuna Ka bifu fulan hakaeleweki Kati yangu na Mzee kufatilia kumbe kuna ndugu hasa shangaz zangu na ma mdogo wanampanga Mzee khs Mimi kimya kimya.
Bt skujali sn nilikuwa nikiamka asbh naenda zangu town kuangalia cha kufanya narudi jioni au wakti mwngn usafiri ukiwa Tata narudi night.
SKU moja nipo town nashangaa Mzee ananitext kwamba nikiwa natoka niwe naacha key za room kwangu mmmh nilishangaa sana ukizngatia room yangu IPO nje huko na Kila kilichomo mle ni Mali yangu nilinunua Kwa boom la chuo na nilikuwa silali na Mtu mle.
Nikaona huu ni mtego huu nikamwambia haina shida Baba kama ndivyo naona kama tawasumbua hasa nikirud usku kuwagongea kuomba funguo basi nipe wiki moja mi nitafute room nikabz kabisa chumba Tu. Uzuri nilikuwa nimeshapata kazi shule moja hivi kaz ya records.
Hakujibu kitu kweli nilipata salary yangu nikahama Ila niliacha kitanda godoro nikachukua.
Eeeh kitendo cha kuhama huku nyuma niliacha mashambuliz makubwa sana khs Mimi toka Kwa ndugu hasa shangaz mmoja hivi alikuwa ananishambulia sn Kwa Mzee.
Bifu lilikuzwa hasa sasa ulitokea msiba tukawa tumekutana karibu ukoo mzma kuna ndugu wakawa wanajua kuna bifu Kati yangu na Mzee wakasema lazma liishe nikaamuliwa kuomba msamaha Kwa Mzee kweli niliomba msamaha paspokujua kosa langu ni lipi Mzee akasema yameisha.
SKU moja nikaenda Kwa Mzee kuzungumza Naye eeeh si akasema ye hajasamehe lolote eti mpk nisafiri niende kwenye kaburi la mama yake niombe msamaha kisha nizunguke niende Kwa Kaka yake niombe msamaha kisha niende Kwa Dada zake niombe msamaha ndipo atasamehe. Ikumbukwe sjui hata kosa langu ni lipi.
Akaendelea kusema Kwanza ye alishani delete kuitwa Baba ni alama Tu Kwan yeyote anaweza kuwa Baba si lazma yeye. Kwahiyo Alisha delete. Uzuri wakati anayasema hayo skuwa peke yangu maana yake wengne nao walikuwa wanaskia.
Alipomaliza nikamwambia sawa nikaingia ndani kuzungumza na ma mdogo kumwambia kwamba bnafs stakanyaga tena pale home Kwa namna yoyote Ile khs yeye ma mdogo sina tatazo Naye na awe na Amani astegemee kuskia mi namsema Kwa mabaya au kumchukia pale ni kwake na stegemei kuja kurithi chochote pale home na kama kuna mtu atamsema Kwa mabaya khs Mimi bs apotezee Tu maana mi sina tatzo naye.
Basi tukaagana hapo nikaondoka zangu ilikuwa mwaka 2018 na sjawahi kukanyaga tena home na nilihama kikazi na sina mawasiliano na Mzee ya aina yoyote Ile.
Pia simchukii maana najua kuna watu waliyoyaleta hayo tena Kwa njia za kishirikina japo sina ushahidi WA moja Kwa moja.
Sasa wakuu mpaka hapo mnadhani Mimi Nina hatia? Au nmekosea wapi zaidi huwa naskia watu wansema Baba anasema Mimi Nina kiburi, jeuri, dharau, mkorofi sa sjui kwa lipi hata sjui.
Ushauri wenu tafadhari.