Hizi familia hizi zina mengi mazito.

ROBERT HERIEL

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
3,688
2,000
Ishi maisha yako.

Umeshakuwa mkubwa achana na mambo ya Baba.

Anakupenda Sawa, hakupendi Sawa.

Usimfikirie mtu mwingine jifikirie zaidi wewe
 
Cos101

JF-Expert Member
Sep 16, 2020
319
1,000
Nilishaulza hakusema maana pia anaogopa sjui nikiwajua wabaya wangu uzuri hajui kuwa nawajua.
Halafu mkuu tatzo humjui Mzee wangu ujue kuna wazee wale wenye hulka za kzamani kitemi ubabe.
Nilishaomba msamaha Sana mbele ya ndugu zake akakubali kiuwongo uwongo nilipoonana nae private nikaomba tena ndo akaleta ya kwenda kwny kaburi la Bibi ambaye ni mama yake sasa sipo Tyr kusujudia kaburi Kwa namna yoyote Ile asahau Hilo spo Tyr.
Pili wakti nimemaliza chuo Mzee alimuita ofsn kwake kwamba wanipeleke Kwa mganga ili kuweka sjui Mambo sawa kifupi nilimkatalia live kumbe walikuwa wamepanga na Dada ake maana Naye alinipgia simu kuniulza nmeambiwa nn nikamjbu sjaambiwa kitu ili nmskie akanambia we si Baba ako kakwambia tukipeleke Kwa mganga nikamwambia ndiyo lakini staki.
Nadhani haya NI baadhi ya matukio ambayo yanaleta ugomvi na kuonekana nna dharau, kiburi, jeuri
Mkuu, ishi maisha yako. Hiyo familia ina shida, ukiitilia maanani utakosa amani na furaha maishani mwako. Ukimkosea mtu na ukamwomba msamaha wa dhati tayari wewe umejiondoa kwenye kifungo aidha muhusika awe amekubali ama kukataa msamaha wako.

Kuna mambo unaweza kuyakosa yanayotokana na uhusiano mzuri na ndugu ila kama hawana uhitaji na wewe unaachana nao, cha msingi hakikisha maisha yako yako thabiti na huwategemei kwa chochote. Iko siku mnaweza kuweka mambo sawa, kwa sasa wala usilazimishe, huwezi kuwaridhisha na utajitesa bure.
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Nimeishi na mdogo wangu (mtoto wa mjombawangu)toka mwaka 2007 akiwa kafukuzwa kwao kisa kasababisha shot ya umeme na kuharibu vifaa vingi vya umeme ndani. Dada ake (mama angu)akajaribu kumuombea msamaha akakataa. 2008 wakakaa kikao cha familia uncle akamsamehe dogo lakini kwa kuwa tayari mjomba ana negative attitude juu dogo ikawa kila dogo akifanya mistakes ndogo ndogo uncle anazikuza na kuwa story kila kona. Hivyo dogo akakosa amani na akawa ana muda mchache wakujisomea so hata performance yake school ikapungua. Siku moja nikampitia dogo tukapige basketball mana dogo alikuwa mkali sana kwenye Basket japo alikua mfupi na tulivyoenda akakiwasha kinoma. Sasa kurudi home uncle akamzingua sana viboko vingi na akafunga mlango dogo alale nje. Dogo akajiongeza akapanda boda hadi home (kule kwenye basket alitunzwa vipesa na mashabiki ) akanigongea nikamfungulia akanisimulia ikabidi alale home. Kuamka asbuhi ikiwa nongwa uncle akawasha moto hadi home na akamfukuza dogo kwake eti aishi hukohuko alikolala ndo kwao. Mzee zilikuwa haziungi na uncle na kitendo cha mjomba kuja kufoka pale home akakitofsiri kama dharau hivyo nayeye akamfukuza dogo pale home. Iliniuma sana na ukizingatia me nimehusika kumshawishi dogo twende kwenye game na bahati mbaya mother ashafariki ambae ndo angekuwa mtetezi. Basi nikamuomba sana mzee amkubari dogo mzee akagoma, nikamuita shangazi yangu mmoja (huwa anamuweza father) tukamlilia sana mzee lakini wapi . Mzee akasema kuliko amruhusu dogo kuja pale bora akaishi kwenye moja kati ya nyumba zake alizokuwa anapangisha (mzee alikuwa jumla ana nyumba 6 mbili za urithi) . Basi me nikaona ngoja nihame home nikaishi na dogo kule kwenye nyumba ya mzee ambayo haipo mbali sana na home( ili msosi niwe nachukuwa home tunakula wote). Kiufupi tuliishi na dogo toka 2008 akiwa form2 me nikiwa form 4 hadi me nikamaliza nikaanza saka life kabda ya matokeo kwa kupiga biashara za hapa na pale huku tukiwa hatuelewani na uncle. Dogo akamaliza 2010 akaingia advance pale tabora boys (dogo alikua na akili mno) 20013 akamaliza 6 kwenye application za mkopo mzee wake akagoma ku sign form ya mzazi hivyo dogo akaomba aende veta(japo sikumuelewa) aunt akamlipia na badae akamuunganisha na mzee mmoja tanesco dogo akaanza kama service man badae akala shavu na mpaka sasa ashaenda chuo kamaliza engineering yake na ni kitengo tanesco na mzee wake akaanza kurudisha majeshi (kwanza alianza kujilalamikisha kwa watu eti dogo amemtenga hajui kama ye ndo baba au ana baba mwingine? Badae akaanza kuwasukuma wanae wadogo(wadogo zake dogo wakimuomba pesa anasema wakamuombe kaka yao) uzalendo ukamshinda akiwa ashchoka kimaisha akamuita dogo akasema alikuwa amerogwa (kumchukia) dogo akataka kumkazia but father akamkataza na dogo anamsikiliza sana mzee wangu. Ko mpaka sasa wapo pamoja. Ko story yako me nime experience kupitia binam yangu.
Nimejifunza kitu hapa aisee. Kuna kisa tena hiki ni cha rafiki yangu ni pastor ye Mzee wao alikuwa na wake wawili. Sa ye Yuko upande WA mke mkubwa na huu upande WA mke mkubwa watoto wote wamefika vyuo wengne vikuu wengne vya Kati. Kule Kwa ma mdogo wake mtoto mkubwa ndo Kwanza alikuwa Ch cha kati diploma.
Sasa mzee wao alifariki akacha duka la vifaa vya ujenzi kubwa Tu pia na nyumba kadhaa. Sasa kuna ndugu wakawa wanamshawishi ma mdogo wao kwamba mali ziuzwe wagawane na ma mdogo akawa kisha jaa upepo. Aliyepewa jukumu la kusimamia mirathi ni huyu rafiki yangu pastor basi kafatilia ikagundulika marehemu Mzee wao alikuwa na madeni mpk Benki huko takribani mil 100 jumla. Basi SKU ya kikao cha ukoo wale ndugu ndugu na ma mdogo aliyejaa upepo wakawa wamepania Mali zpigwe mgao pasupasu upande WA mke mdogo na mkubwa. Paspo kujua kuna madeni.
Ilipokuja hoja ya kugawana Mali jamaa akasimama akiwa na data kamili za madeni akasoma mbele ya Wana ukoo na akasema khs kugawana Yuko Tyr kwa Hilo Ila Kwa sharti la kugawana na madeni pia Kila upande uchukue madeni pasu Kwa pasu.
Weee wote kimyaaa wakaufyata wakamuchia jamaa afanyr ajuavyo na
 
Cos101

JF-Expert Member
Sep 16, 2020
319
1,000
Mku inaonyesha mze wako ana mali sasa anatumia hizo mali kama mtego wa kukunyanyasa ,Tafuta zako ukilazimisha akukubali mtaishia kugombaba zaidi ww tafuta namba zake mara moja moja mpe hi ajibu asijibu we timiza wajibu kumuheshimu kuepuka laana .
Mkuu hakuna laana ya hivi. Juhudi zote alizofanya huyu jamaa zinaonyesha mzee na familia ndo wenye shida. Apambane kujenga maisha yake tu na Mungu atambariki.
 
Cheef Baroka

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
491
1,000
Nimejifunza kitu hapa aisee. Kuna kisa tena hiki ni cha rafiki yangu ni pastor ye Mzee wao alikuwa na wake wawili. Sa ye Yuko upande WA mke mkubwa na huu upande WA mke mkubwa watoto wote wamefika vyuo wengne vikuu wengne vya Kati. Kule Kwa ma mdogo wake mtoto mkubwa ndo Kwanza alikuwa Ch cha kati diploma.
Sasa mzee wao alifariki akacha duka la vifaa vya ujenzi kubwa Tu pia na nyumba kadhaa. Sasa kuna ndugu wakawa wanamshawishi ma mdogo wao kwamba mali ziuzwe wagawane na ma mdogo akawa kisha jaa upepo. Aliyepewa jukumu la kusimamia mirathi ni huyu rafiki yangu pastor basi kafatilia ikagundulika marehemu Mzee wao alikuwa na madeni mpk Benki huko takribani mil 100 jumla. Basi SKU ya kikao cha ukoo wale ndugu ndugu na ma mdogo aliyejaa upepo wakawa wamepania Mali zpigwe mgao pasupasu upande WA mke mdogo na mkubwa. Paspo kujua kuna madeni.
Ilipokuja hoja ya kugawana Mali jamaa akasimama akiwa na data kamili za madeni akasoma mbele ya Wana ukoo na akasema khs kugawana Yuko Tyr kwa Hilo Ila Kwa sharti la kugawana na madeni pia Kila upande uchukue madeni pasu Kwa pasu.
Weee wote kimyaaa wakaufyata wakamuchia jamaa afanyr ajuavyo na
Hahahahhaha. Hawajamgeukia jamaa kwamba madeni mengne kayatengeneza yeye.?. Mana si tumewahi simamia mirathi ya mfanya kazi mwenzetu aisee kuna watu wana roho za ajabu sana. Mdogo wake marehem kipindi tuna fatilia zile pesa kuanzia kufatilia hati ya kifo na nyaraka zingine hakuwa akishiriki sana ila siku yakugawana mali akaja na madeni kibao kwamba marehem alikuwa akidaiwa na akataka akate gharama zote za wake wa marehem walizotumia kipindi wapo kwake wakikaa Edda hadi mafuta ya gari ambayo aliweka kwenye gari kipindi anawaleta kwenye kikao. Nilimshangaa sana yule jamaa na tulibishana sana nikasema hayo madeni alipe yeye akiwa kama ndugu wa marehem na zile pesa nikazigawa kwa usawa kwa wake wa marehem na vichenchi kidogo nikawapa ndugu wa marehem. Jamaa hanisemeshi mpaka sasa.
 
Cos101

JF-Expert Member
Sep 16, 2020
319
1,000
Mimi nipo kwny harakati hzo za kutemana kbs na Mzee yaani tusjuane kbs kbs. Ukizngatia akitamka mbele yangu kwamba Alisha nidelete nikikumbuka kauli hiyo yaani napandwa na hasira sana yaani najuta hata kuitwa u bin wake.
Mkuu, let it go. Sio rahisi ila usiweke hasira wala chuki moyoni. Mzee ana shida na inawezekana haelewi tu anachofanya, msamehe bure. Mungu akijaalia mtakuja kuweka mambo sawa ikishindikana basi muachie Mungu.
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,843
2,000
Mkuuu kwa Kifupi una laaana!
Yaaani Mzee akuzae, akulee, akusomeshe, upate kazi halafu simpo tu useme toka 2018 hujawahi kanyaga home!
Kama hutapata laaana basi wewe siyo damu ya Mzee wako upo udanganyifu.
 
Cos101

JF-Expert Member
Sep 16, 2020
319
1,000
Hahahahhaha. Hawajamgeukia jamaa kwamba madeni mengne kayatengeneza yeye.?. Mana si tumewahi simamia mirathi ya mfanya kazi mwenzetu aisee kuna watu wana roho za ajabu sana. Mdogo wake marehem kipindi tuna fatilia zile pesa kuanzia kufatilia hati ya kifo na nyaraka zingine hakuwa akishiriki sana ila siku yakugawana mali akaja na madeni kibao kwamba marehem alikuwa akidaiwa na akataka akate gharama zote za wake wa marehem walizotumia kipindi wapo kwake wakikaa Edda hadi mafuta ya gari ambayo aliweka kwenye gari kipindi anawaleta kwenye kikao. Nilimshangaa sana yule jamaa na tulibishana sana nikasema hayo madeni alipe yeye akiwa kama ndugu wa marehem na zile pesa nikazigawa kwa usawa kwa wake wa marehem na vichenchi kidogo nikawapa ndugu wa marehem. Jamaa hanisemeshi mpaka sasa.
Kufa kufaana. Kuna watu wana roho ngumu aisee.
 
missyrose

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
2,494
2,000
Mkuuu kwa Kifupi una laaana!
Yaaani Mzee akuzae, akulee, akusomeshe, upate kazi halafu simpo tu useme toka 2018 hujawahi kanyaga home!
Kama hutapata laaana basi wewe siyo damu ya Mzee wako upo udanganyifu.
Ameambiwa aombe msamaha kwenye kaburi la bibi yake mzaa baba ndio mzee amsamehe..imani yake haimruhusu. Afanyeje? Lol

Tukubali sometimes hata sisi wazazi tunakuaga toxic. Mtu anaomba msamaha unampa masharti kisa wewe mzazi..hata Mungu hapendi.
 
missyrose

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
2,494
2,000
Mku inaonyesha mze wako ana mali sasa anatumia hizo mali kama mtego wa kukunyanyasa ,Tafuta zako ukilazimisha akukubali mtaishia kugombaba zaidi ww tafuta namba zake mara moja moja mpe hi ajibu asijibu we timiza wajibu kumuheshimu kuepuka laana .
Yani utume sms hazijibiwi upige simu hazipokelewi miaka nenda rudi useme unatimiza wajibu kukwepa laana? Wabongo sisi ni waoga sijawahi kuona
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Unamchukia mama yako. Hupatani na Baba yako. Shangazi zako wanakusema vibaya. Una bifu na mama yako mdogo.

Sihitaji kua mtaalamu wa sayansi ya anga za mbali kufahamu kwamba wewe ni tatizo!
Sina hakika kama kichwa chako kinafanya kaz vzuri kwa aliyesoma kile kisa Ch mama yangu sjui kama Kuna mahali nimeandka namchukia mama yangu nadhani we utakuwa chizi fresh kutokuwa na mapenz na mama Yang si kumchukia na sababu nilieleza na si mimi Tu hata mdogo wangu anayenifuata WA kike Naye Bora hata Mimi kidogo Yani yule ndo kbs na majuz tu hapa nimetoka kusuluhisha kwa njia ya kuwapgia simu wote. We chizi fresh sjui haya unayatoa wapi Kwa vle hayajakufika.
 
SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
453

Okay sawa. Mimi ni chizi fresh ambae naishi vizuri na wazazi wangu pamoja na ndugu wengine. Have a nice day!
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,363
2,000
Upo sahihi Ila wanaume tunatabia za kijinga sana unakubali vipi kulishwa maneno yanayoweza kukukosanisha na ndugu au mwanao na jike ambalo umeliokota kuja kukifuga kwako sio hata damu yako
 
ID Fake

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
337
500
Hiki ulichokisema kwamba madogo ni mzgo wangu wewe si WA Kwanza kusema aisee.
Pili khs Mzee kuja kunitafutia pia si WA Kwanza kusema hata wale adui zangu nao huwa napata taarifa zao kwamba huwa wanasema Mzee atanitafutaga Tu.
Kwa simulizi uliyoleta kwenye uzi na nyongeza kwnye comments...

Kwanza pole sana.

Lkn pili, Kama mimi ningekuwa wewe; ningekaa mbali kabisa na hao ndugu unaosema wanakukubali sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom