Hizi faini zinazotozwa na jiji kwenye wrong parking ni halali?

minze manonu

Member
Nov 27, 2013
50
16
Leo gari yangu ilifungwa kwa kosa la kupaki sehemu isiyotakiwa, hapakuwa na alama yeyote kama hapatakiwi kupaki gari. Niliporudi nilitakiwa kwenda manispaa kulipia laki moja, rushwa haitaisha kwa mifumo mibovu kama hii, ni kweli kosa langu linaendana na fain inayotozwa?
 
Back
Top Bottom