hizi enzi unakumbuka?

May Be

Member
Sep 5, 2011
42
13
542582_391430120934649_358695438_n.jpg
 
Duuuuh haya maisha hayaaa.... Nakumbuka sana days back Mapambano pr. School mby, 90's alf baridiiii..... But ndo Africa sana
 
Nakumbuka kipindi hicho hm hari mbaya ya kimaisha, hapo asubuhi naenda shule na njaa naludi jioni nakuta dona na matembele ya chukuchuku! Mungu ashukuliwe amenitoa mbali hadi hapa nilipo.
 
wengine wanaona km ni maigizo dat type of life kumbe wa2 wamesota sana na wengine still wapo under the sem msoto some where in the country side
 
Dah!!! Kitambo sana yani hm kulikuwa na taa kama nne hivi ikifika saa kumi na mbili ni kusafisha kioo kwanza taa zote kabla giza halijaingia.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
Jamani hebu tufanye walau makisio tu.

1. Ni asilimia ngapi ya taifa la tanzani kuna umeme? wa grid ya taifa aumagenerata! (namaanisha maeneo wanayoishi watu)

2. Ni asilimiangapi ya watanzania wote wanapata umeme? uwe wa Grid ya taifa, magenerator au Sola! (watumiaji wa nishati)

Utagundua kuwa hiyo hali siyo ya kale ndiyo maisha ya watanzania waliowengi mpaka leo hii, mijini na vijijini

Kwa kifupi picha hiyo inasummerise hali halisi ya watanzania walio mashambani na hata mijini sio wote wanaishi nyumba zenye umeme na kumudu gharama zake.

BADO TUKO NYUMA SANA. (zidumu fikra sahihi za wanyeviti wa ccm kwa umasikini.................)
 
Hazijaisha, nakumbuka me std one hadi fom five nimetumia kibatari 2008 hadi nikakimbia home nakwenda kupanga nyumba ya umeme!

Kibatari hata mimi nimekitumia sana........Kumbe tupo wengi, achana na masharobaro wengine ukikutana nao wanajifanya hawajui hii kitu
 
halafu unakuta mafuta yenyewe yakiisha ni ishu lingine,unaambiwa lala mapema mafuta yataisha
 
enzi hizi ndo zilizonifanya hadi leo navaa miwani kwasababu ya moshi wa koroboi na taa ya chemli, lakini kwa sasa nakula kwa mrijaaa
 
Back
Top Bottom