Hizi data zinatufundisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi data zinatufundisha nini?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kang, Feb 28, 2011.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hizi ndo image search terms zilizotawala Google katika miezi 12 iliyopita Kenya, Uganda na Tanzania.

  Uganda
  Rising searches
  1. nicki minaj Breakout
  2. facebook +100%
  3. dresses +50%
  4. love +50%
  5. funny +40%
  6. shoes +40%

  Tanzania
  Rising searches
  1. justin bieber Breakout
  2. nicki minaj Breakout
  3. facebook +250%
  4. image +180%
  5. uchi +170%
  6. k@#a +140%
  7. ngono +140%

  8. chelsea +90%
  9. ray c +90%
  10. images +70%

  Kenya
  Rising searches
  1. justin bieber Breakout
  2. nicki minaj +1,050%
  3. avril +300%
  4. drake +150%
  5. rihana +150%
  6. world cup +140%
  7. mariah carey +110%
  8. eminem +90%
  9. shakira +90%
  10. messi +80%

  Source: Google
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Searches za masuala ya kipuuzi zimeongezeka kwa zaidi ya 450%, manake mitandaoni tunazidi kupokea "wataalam" wengi kwa kasi kubwa.

  Inasikitisha sana, japo ndo uhalisia wenyewe
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tafadhali mkuu futa usemi wako ? hao "wapuuzi" ndio akina nani? mtandao umewekwa kwa ajili gani?
  si mtu anatafuta kile anacho hitaji kujifunza or chochote anachohitaji? iwe ni kuangalia Ngono na n'k ni juu yake mwenyewe wapo wanaotumia mtandao kwa kujielimisha na wapo wanaotumia kwa kuangalia movies/music na we ngine porno,so hivyo kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anacho amini ni kizuri kwake.
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Hizo dataz zinaonesha watu wapo bize na punyeto.
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwanini Invisible afute usemi wake ilhali anachokisema ni kweli?
  Kitu ambacho kinashangaza wakati wenzetu wakitumia tech kuuaga umaskini, utashangaa watu wetu hasa vijana wanaobahatika kupata internet wako busy na upuuzi.
  Kwa taarifa ya wengi, CEO mdogo kuliko wote duniani anatoka nchi maskini na ni kwa sababu ya kutumia tech kwa usahihi! Soma hii:
  World's Youngest CEO - Suhas Gopinath - Globals Inc.

  world youngest ceo, worlds youngest entrepreneur, youngest indian ceo Bangalore boy Suhas Gopinath launched Globals Inc at 14. Today, his firm is a 60-member strong with all of them aged 17 to 22 years.

  It was Catch-22 with a heartbreaking twist. Even before the first faint stubble had darkened his chin, Suhas Gopinath bagged a major outsourcing project that many others would have given their right hand for. But only to be told that the law said he was too young to sign on the dotted line.

  [​IMG]
  That’s the story of this 17-year-old Bangalore boy wanting to be another Bill Gates. He had launched his own firm at the ripe old age of 14 years. Today, his firm, Globals Inc, is 60-member strong with representatives in the US, the UK, Canada and India—all of them aged 17 to 22 years. None of the members have had any formal computer education. Incidentally, Globals’ young CEO had originally wanted to be a veterinarian, until he was in Class IX and the cyber bug bit him.

  ‘‘I had no knowledge of the Internet. But when I was browsing the Internet in a cyber cafe I stumbled on a source code of a web site. I was fascinated and thought long and hard. I soon launched my own website, www.coolhindustan.com,’’ says Gopinath, fingering his navy blue blazer and battling a pronounced stammer, at the Bangalore IT.COM 2003 venue. That had happened when he had still not crossed 14 years.

  A week later, recognition came when Network Solutions Inc, owned by Nasdaq-listed New York-based Verisign Inc gave him the certificate of a professional web developer. He was invited to Network Solutions headquarters and even asked to maintain their web site. Now hold your breath: ‘‘I declined because I was not interested in serving a US company.’’

  Gopinath says it was the attachment to his family and the ambition to start his own organisation that brought him back to India.

  Having passed Class XII in computer science, his veterinarian dream has faded off, but he loves spending his free time with Bushy, his pet dog. ‘‘I don’t have girlfriends,’’ the tiny CEO tells you with a straight face. Globals Inc took shape initially with only four members, and Network Solutions helped him to incorporate the company in the US. ‘‘I was told that in India, you need to pay sales tax and also have an infrastructure before you can register a firm. But all our members work from home or from a cyber cafe,’’ he says.

  [​IMG]Gopinath’s company is into web-based and software solutions, mobile and e-commerce solutions—besides making web sites for corporates, advertisers and educational institutions. But Gopinath doesn’t get carried away with the pricing part. ‘‘We even have a client in Frankfurt for whom we made a corporate website. In the last two years, we have been able to generate a revenue of Rs 30,000 to Rs 40,000. We charge only Rs 200-Rs 300 for making a website,’’ he says.

  Gopinath had never thought of himself and his team as being far too young in their highly competitive domain, until a Singapore-based business process outsourcing (BPO) company, SingT Inc, approached them. ‘‘They wanted to outsource their projects to us. Everything fell into place, until the moment I found that the law wouldn’t allow me to sign the contract because I was not 18 yet.’’

  Not that it has been too much of a dampener. He is now waiting to have the necessary infrastructure in place so that he can incorporate his company in India. ‘‘At any cost, ours will be a purely Indian company.’’

  Not just that. Globals Inc has approached the University of Michigan for building a message board that can be a forum for students. ‘‘We also approached the Karnataka Government for projects, but they said the Government projects are given out only to big companies. But we too will be a CMM Level 5 company soon,’’ says a confident Gopinath, straightening his blazer.
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo wenzetu wana elimu, tofauti na nchi zetu hizi, leo hii uko mtaani unakutana na vijana wanaangalia movie za porno kwenye simu zao na wanaulizana wamepata wapi hizo unasikia NET. Mpaka hapo kijana ambaye hajui matumizi ya internet anajua moja kwa moja kuwa kama unahitaji picha za ngono zina patikana kwenye internet, hivyo kwa yeye anajua matumizi sahihi ya internet ni kwa ajili ya mambo hayo.


  Na hii inatokana na kutokuelimishwa na kujua matumizi sahihi ya internet yanaweza kumsaidia vipi kwenye shughuli zake za kielemu ,kibiashara n'k.
  Hapa JF kwenyewe mnaona watu mlionao ni wa aina gani, Mada za ajabu ajab ndizo zinazopata wachangiaji wengi,zile za maana na zenye maana hazipati wachangiaji... Kwa hiyo ndugu, Invisible hapa kwenye Forum yako una hao watu unao waita wapuuzi wengi tu.
   
 7. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haimaanishi lolote! hata mimi nikimaliza kufanya au nikimpumzika na project zangu, nasearch music, au ray c, au apparently "uchi" :wink2:.. So haimaanishi lolote! wewe umechukua top, ambazo ni relatively. Now u being too critic to ur country mpaka mnaboa sasa!!
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hii ina maanisha watanzania tuna maisha mazuri zaidi kwa sasa, maana ukiangalia sana mambo ya ngono, music nakadhalika hayafanywi wala kutafutwa na mtu aliye na msongo wa matatizo kichwani. Naipenda Tanzania
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hizo data zina haziwezi kuwa conclusive.

  Njia nzuri ya kua nalsye na ku evalute matumizi ya mtandano tanzania ni kwa kutembelea Alexa the Web Information Company

  Hii tovuti ya alexa inonyesha takwimu mbali mbali za website utayoingiza. Takwimu zenyewe ni kama

  • Nafasi ya tovuti katika dunia (Alexa Rank in wold)
  • Nafasi ya tovuti katika nchi husika (Rank in country)
  • Idadi ya tovuti zingine zenye viunganishi vinayokuleta kwenye tuvuti husika (site linking)
  • Ni kundi la watu zaidi wanapenda kutembelea tovuti husika wa kwa umri, jinsia na hata ni watu wa nchi gani
  Orodha ya tovuti zinazopokea traaffic kubwa tanzania( top site in tanzania)

  1. Google
  2. Facebook
  3. Google.co.tz
  4. Yahoo.com
  5. Youtube.com
  6. Windows Live live.com
  7. Blooger.com
  8. Wikipedia.org
  9. BBC.co.uk
  10. Jamiiforums.com
  11. Amazom.com
  12. Msn.com
  13. conduit.com
  14. espncricinfo.com
  15. linkedln.com
  16. Thepiratebay.org ( na haya mambo hahahaha)
  Hongereni sana Jf kuwa ni site pekee ya watanzania kuwa kwenye orodha ya top ten sites.

  Angalia na nchi nyingine
  Top site visted in america Alexa - Top Sites in United States
  top site visited in UK Alexa - Top Sites in United Kingdom
  topsite visited in india Alexa - Top Sites in India
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WA TZ wavivu hawafanyi kazi ndo maana wana muda mwingi wa kuchati!
   
 11. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wangekuwa nwatumia muda mwingi kujisomea nvo afadhali
   
 12. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inabidi elimu ya intenet itolewe kwa wa tz
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  JF.JPG
  Kipindi cha uchaguzi kuna watu walikuwa wanapotosha watu wakidai kuwa jamiiforums inatembelewa zaidi na watu walio nje ya nchi.... ukweli ndio huu (kwenye Picha) pongezi nyingi kwa team nzima ya JF.
   
 14. SamJet

  SamJet Senior Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 165
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I think i am Tanzanias youngest c.e.o Iam 18
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kina nani hao. Sema Tunge.... Au wewe kuandikahii comment hujatumia internet? ama kubali hoja au kataa. kwa hoja

  Na wewe umo humo otherwise tuaambie kama wewe ni mkenya. Je umefanya nini kundokana na uvivu?

  Mhh wange wange wange na wewe umo umo kujisomea nini sasa? Hata hayo yanaitwa ya kupuuzi wanajisomea na .intenet sio tu lazima ifanye kazi moja . kuna burudani, vichekesho, elimu, biashara, taariifa, michezo, urafiki, mapenzi , teknolojia.mijadala. etc

  Usilazimishe prority zako wewe kwenye internet ziwe sawa na za yule.
   
Loading...