Hizi damu ndio zinazoangusha utawala wa CCM

Hapo zamani za kale...
IMG_20190902_213405.jpeg
 
Kuna baadhi ya watu hawajui kuwa utawala wa CCM umeshaanguka.

Lakini watu wenye akili za kiroho wanajua CCM haipo tena, its just a matter of time the ordinary people washuhudie, lakn the extra ordinary people wanajua CCM reached the end, the only that ni kwamba the extra ordinary people do not swim against the tides, the ordinary people do.

Naomba niweke sawa hapa:
Kila kitu ni roho. Umaskini ni roho. Utajiri ni roho. Kampuni ni roho. Biashara ni roho. Mtu ni roho. Ukombozi ni roho. Ufaulu ni roho. Kufeli ni roho. Akili ni roho. Ujinga ni roho. Unafiki ni roho. Na kadhalika na kadhalika

Roho ndio yenye nguvu. Ndio dikteta, ndio mtawala mkuu wa 'every action against every reaction'.

Kama roho ikigoma kukabiliana na every reaction, what next ni anguko. No further steps.

CCM haina tena roho wala nafsi. Imebaki na mwili tu. Mwili ni ubabe ubabe tu.

Roho ya CCM imekwenda wapi?

- Damu ya Lissu inajua
- Damu ya ....... inajua
- Damu ya .... inajua
- Damu ya ...... inajua

For: Extra ordinary people
Your article is too paradoxical. Haiwezekani ordinary people ndio wa swim against the tides. It can't be that way. It is the extra ordinary ones who can swim against the tides. Philosophically I don't see any logic in what you have said.
 
Upuuzi mtupu,jifarijini na.vi thread uchwara na damu za traitors,
CCM itakuwepo kwa muda mwingi tu,kwasababu dhamira zenu ni kutumikia matumbo yenu na si watanzania ,ubinafsi wenu ndio unaowagharimu,mfano kubadili gia angani ,nk
Hivi unapowaua, unapowaonea, unapowatesa, unapowateka na kuwapoteza wananchi, ni nani unaotaka kuwatumikia?
 
Back
Top Bottom