Hizi damu ndio zinazoangusha utawala wa CCM

CCM Music

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Messages
561
Points
1,000

CCM Music

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2018
561 1,000
Kuna baadhi ya watu hawajui kuwa utawala wa CCM umeshaanguka.

Lakini watu wenye akili za kiroho wanajua CCM haipo tena, its just a matter of time the ordinary people washuhudie, lakn the extra ordinary people wanajua CCM reached the end, the only that ni kwamba the extra ordinary people do not swim against the tides, the ordinary people do.

Naomba niweke sawa hapa:
Kila kitu ni roho. Umaskini ni roho. Utajiri ni roho. Kampuni ni roho. Biashara ni roho. Mtu ni roho. Ukombozi ni roho. Ufaulu ni roho. Kufeli ni roho. Akili ni roho. Ujinga ni roho. Unafiki ni roho. Na kadhalika na kadhalika

Roho ndio yenye nguvu. Ndio dikteta, ndio mtawala mkuu wa 'every action against every reaction'.

Kama roho ikigoma kukabiliana na every reaction, what next ni anguko. No further steps.

CCM haina tena roho wala nafsi. Imebaki na mwili tu. Mwili ni ubabe ubabe tu.

Roho ya CCM imekwenda wapi?

- Damu ya Lissu inajua
- Damu ya ....... inajua
- Damu ya .... inajua
- Damu ya ...... inajua

For: Extra ordinary people
 
omtiti

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Messages
452
Points
1,000

omtiti

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2019
452 1,000
Upuuzi mtupu,jifarijini na.vi thread uchwara na damu za traitors,
CCM itakuwepo kwa muda mwingi tu,kwasababu dhamira zenu ni kutumikia matumbo yenu na si watanzania ,ubinafsi wenu ndio unaowagharimu,mfano kubadili gia angani ,nk
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,813
Points
2,000

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,813 2,000
Upuuzi mtupu,jifarijini na.vi thread uchwara na damu za traitors,
CCM itakuwepo kwa muda mwingi tu,kwasababu dhamira zenu ni kutumikia matumbo yenu na si watanzania ,ubinafsi wenu ndio unaowagharimu,mfano kubadili gia angani ,nk
Kuna Watu Wabinafsi kama Mafisadi Toka Lumumba hapo? Shame on you! Yaani Unazungumzia Ubinafsi na Kutenganisha na CCM, Sasa hivi Mwenyekiti wenu anahamishia Tanzania Chato. Aibu saana!
 
yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
6,030
Points
2,000

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
6,030 2,000
Upuuzi mtupu,jifarijini na.vi thread uchwara na damu za traitors,
CCM itakuwepo kwa muda mwingi tu,kwasababu dhamira zenu ni kutumikia matumbo yenu na si watanzania ,ubinafsi wenu ndio unaowagharimu,mfano kubadili gia angani ,nk
Traitor ndio nani??
 
Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
3,558
Points
2,000

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
3,558 2,000
Kama mambo yangekuwa rahisi hivyo basi pasingekuwepo tawala hapa duniani, zingeshaanguka zote.
 
JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,595
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,595 2,000
a person who betrays a friend, country, principle, etc..
..kama ni hivyo hudhani ccm ndiyo inaongoza kwa kuwa na traitors wa kila aina?

..kwa mfano, moja ya principles za ccm ni kutetea uhuru wa nchi zote za Kafrika, sasa majuzi mmeunda urafiki na Morocco inayoikalia kimabavu Sahara Magharibi,na pia mlikataa kuunga mkono azimio la vyama vya ukombozi dhidi ya Morocco.

..Je, ccm siyo traitors? Ccm siyo kibaraka wa Morocco?

NB.

..nitarejea kueleza usaliti uliofanywa na ccm ndani ya Tz.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,818
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,818 2,000
..kama ni hivyo hudhani ccm ndiyo inaongoza kwa kuwa na traitors wa kila aina?

..kwa mfano, moja ya principles za ccm ni kutetea uhuru wa nchi zote za Kafrika, sasa majuzi mmeunda urafiki na Morocco inayoikalia kimabavu Sahara Magharibi,na pia mlikataa kuunga mkono azimio la vyama vya ukombozi dhidi ya Morocco.

..Je, ccm siyo traitors? Ccm siyo kibaraka wa Morocco?

NB.

..nitarejea kueleza usaliti uliofanywa na ccm ndani ya Tz.
Umenikumbusha tokea zamani jinsi tulivyokuwa tuna support POLISALIO na kuimba nyimbo mashuleni.
Namkubali mleta hoja, CCM imeishiwa Roho zote, zimekufa. Imebaki na moja tuu, Roho ya Korosho.
 
bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
11,671
Points
2,000

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
11,671 2,000
Hivi chadema mnategemea kupewa nchi kizembe na kwa huruma hivi..?
Kuna baadhi ya watu hawajui kuwa utawala wa CCM umeshaanguka.

Lakini watu wenye akili za kiroho wanajua CCM haipo tena, its just a matter of time the ordinary people washuhudie, lakn the extra ordinary people wanajua CCM reached the end, the only that ni kwamba the extra ordinary people do not swim against the tides, the ordinary people do.

Naomba niweke sawa hapa:
Kila kitu ni roho. Umaskini ni roho. Utajiri ni roho. Kampuni ni roho. Biashara ni roho. Mtu ni roho. Ukombozi ni roho. Ufaulu ni roho. Kufeli ni roho. Akili ni roho. Ujinga ni roho. Unafiki ni roho. Na kadhalika na kadhalika

Roho ndio yenye nguvu. Ndio dikteta, ndio mtawala mkuu wa 'every action against every reaction'.

Kama roho ikigoma kukabiliana na every reaction, what next ni anguko. No further steps.

CCM haina tena roho wala nafsi. Imebaki na mwili tu. Mwili ni ubabe ubabe tu.

Roho ya CCM imekwenda wapi?

- Damu ya Lissu inajua
- Damu ya ....... inajua
- Damu ya .... inajua
- Damu ya ...... inajua

For: Extra ordinary people
 
Koko Mbwana

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Messages
259
Points
250

Koko Mbwana

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2018
259 250
Upuuzi mtupu,jifarijini na.vi thread uchwara na damu za traitors,
CCM itakuwepo kwa muda mwingi tu,kwasababu dhamira zenu ni kutumikia matumbo yenu na si watanzania ,ubinafsi wenu ndio unaowagharimu,mfano kubadili gia angani ,nk
Ili ionekane ipo au haipo iweke uwanja level wa kushindanisha vyama,iruhusu vyama kufanya siasa kama ambavyo yenyewe inafanya kwa kujifanya wanakagua utekelezaji wa ilani.Waruhusu tume ya uchaguzi ambayo hata vyama vya upinzani vitakiri kwamba tume ni huru
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
5,114
Points
2,000

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
5,114 2,000
Kuna baadhi ya watu hawajui kuwa utawala wa CCM umeshaanguka.

Lakini watu wenye akili za kiroho wanajua CCM haipo tena, its just a matter of time the ordinary people washuhudie, lakn the extra ordinary people wanajua CCM reached the end, the only that ni kwamba the extra ordinary people do not swim against the tides, the ordinary people do.

Naomba niweke sawa hapa:
Kila kitu ni roho. Umaskini ni roho. Utajiri ni roho. Kampuni ni roho. Biashara ni roho. Mtu ni roho. Ukombozi ni roho. Ufaulu ni roho. Kufeli ni roho. Akili ni roho. Ujinga ni roho. Unafiki ni roho. Na kadhalika na kadhalika

Roho ndio yenye nguvu. Ndio dikteta, ndio mtawala mkuu wa 'every action against every reaction'.

Kama roho ikigoma kukabiliana na every reaction, what next ni anguko. No further steps.

CCM haina tena roho wala nafsi. Imebaki na mwili tu. Mwili ni ubabe ubabe tu.

Roho ya CCM imekwenda wapi?

- Damu ya Lissu inajua
- Damu ya ....... inajua
- Damu ya .... inajua
- Damu ya ...... inajua

For: Extra ordinary people
Bila kusahau waleee! ''unknown criminals'' a.k.a watu ......julikana
 
sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
4,475
Points
2,000

sheiza

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
4,475 2,000
Sasa kama ccm imeanguka chadema ndio tusemeje?? Maana kama ni damu huko ipo ya chacha wangwe, ben saanane
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,300
Points
2,000

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,300 2,000
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
27 TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
28 PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
 
dindilichuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
881
Points
1,000

dindilichuma

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
881 1,000
Ukiona unaanza kusema sijui damu inawalilia Mara karma sijui ujue umeishiwa mbinu zote unasubiri miujiza.
Hili ndilo watanzania wanakosea wasifikiri pasipo jitihada hizo damu zinalia na kuna kitu cha maana kitatokea.
Hakuna nchi iliyojengwa na kuwa Tajiri iliyotenda Haki ili kuinuka kiuchumi kuna Watu walitolewa Kafara na wengine walinyonywa wasikwamishe jitihada za Watu.
Nchi mpaka hazikutosheka zikatoka kujakutunyonya na huku lakini wapi tulizidi kuwa Masikini wao wakatufundisha kusema Karna is a bitch na kuliliwa na damu ambayo huwa haiwalilii wao.
Kwenye Maisha yangu naamini kupambana siamini Karma wala damu sijui inalilia huwa naamini wanaosema hivyo wamekata Tamaa Kabisa.
Toka kipindi cha utumwa mpaka leo bado tunaongea maneno hayohayo na hayajatupa matokeo yoyote tupo tunasubiri bado Karma na damu zinazolia zipambane.
 
Forum statistics

Threads 1,392,594
Members 528,644
Posts 34,112,236
Top