Hizi dalili za udikteta hadi nimeogopa maana anazo fulani

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Bila kumumunya maneno hebu nieleze maana ya neno dikteta

a ruler with total power over a country, typically one who has obtained control by force.

Kwanza fulani wa nchi ili ni dikteta kwa sababu

Anakataza mikutano

Anawalazimisha wasimamizi wa uchaguzi kuwatangaza wanachama wake wa uchaguzi wakati tunafaham uchaguzi unapaswa kuwa huru na wa haki

Haruhusu uhuru wa vyombo vya habari

Hapendi upinzani

Kuwatisha watu wasiandamane

Lugha ya vitisho vya mauaji


Kulingana na jarida la foreign policy?ili kujuwa kiongozi wako ni dikteta tizama hizi dalili na sifa

1. Systematic efforts to intimidate the media.Jee tanzania huyu wetu serikali yake si inafanya haya...jibu ni ndio


2. Building an official pro- media network.Kama huyu wetu anavyopenda kusifiwa muda wote.Kweli

3 Politicizing the civil service, military, National Guard, or the domestic security agencies.Sasa hivi polisi wamekua kama ni ccm wake au hata usalama wa taifa Jibu ni Ndio

4 Using government surveillance against domestic political opponents.:Ndio

5:Using state power to reward corporate backers and punish opponents. Mambo ya kuunga mkono juhudi hayo na vyeo


6.Stacking the Supreme Court. Ni kama huyu wetu anavyoanza sahv kuchagua majaji waunga mkono juhudi



7. Enforcing the law for only one side.Mmeona mambo hayo yaani akiamka hajali sheria wala nini ataforce wee ili tu atimize maslah yake au chama chake mvunja sheria



8. Really rigging the system.yaani huyu anayo kabs 100%


9. Fearmongering.:kuwaogopa wapinzani kutukana nchi za nje mabeberu kwa uoga wa kutafuta huruma ya umma

10 Demonizing the opposition.yess hii imeeleweka


Read more

 
Nasubili wakunitaja
FB_IMG_15749664070518892.jpeg
 
Kikwete alikuwa dhaifu na mpole,tunataka rais mkali.
Ama kweli walisema wahenga aliwazaro mtu ndio linalomtokea,lawama ziende kwetu sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom