Hizi dalili za tatizo gani?

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Kwa takribani miezi sita sasa nimekua na tatizo lakustuka stuka nikiwa usingizini.Mwanzo nilihisi kama naota lakini ilitokea nimelala na mtu ndipo amenieleza ninavyokua.
Hua mwili unakakamaa kwa sekunde kadhaa kisha narudi kwenye hali ya kawaida aidha niendelee na usingizi ama niamke.
Sasa sijui hizi ni dalili za tatizo gani naomba kama kuna Dr mwenye kuelewa dalili hizi anifafanulie kwani nimeanza kuingia hofu sasa.
 
kifafa kinakuanza,tafuta tiba
 
Mkuu Anza Kukimbilia Matibabu ya EPILEPSY (Kifafa) Haraka Sana Kabla Hakijawa Chronic
 
Daaah ni kama mwili umekufa ganzi kwani nahisi akili haikujiandaa kusikia hayo ila yanipasa niyafuatilie.Hivi nini chanzo cha ugonjwa huu?Lakini pia hivi kifafa kinatibika wakuu na kama kinatibika matibabu yake yanapatikana wapi?
 
Vp kuna kipimo chakuthibitisha huu ugonjwa au ndio unajulikana kwa dalili?Na kama vipimo vipo vinapatiakana hospitali gani?
 
Daaah ni kama mwili umekufa ganzi kwani nahisi akili haikujiandaa kusikia hayo ila yanipasa niyafuatilie.Hivi nini chanzo cha ugonjwa huu?Lakini pia hivi kifafa kinatibika wakuu na kama kinatibika matibabu yake yanapatikana wapi?
Mkuu Kabla Ya Kuhukumu Kuwa Ni Kifafa Moja Kwa Moja, Kwanza Nenda Hospital Ukapime Wingi Wa Damu! Kwani Damu ikiwa Nyingi Sana Mwilini Wakati Mwengine inasababisha Kama Hivyo ulivuieleza.

Na Kuhusu Kifafa Ni Kwamba Mpaka Hii Leo Bado Hakija Juilikana Kuwa Kinasababishwa Na Nini!! Bali Mtu Huonekana Kuwa Anacho Tu.
Isipokuwa Kwa Asilimia Ndogo Sana inaaminika Kuwa Wengine Husababishwa Na "Genetic" (Urithi), Je Katika Familia Yenu Hakuna Historia Ya Kuugua Kwa Maradhi Haya??

Na Kuhusu Dawa Ni Kuwa: Dawa Ya Kwanza iliyotiliwa Mkazo (First line) ni "CARBAMAZEPINE" ambayo inapatikana Famasi Zote Nchi Nzima, Na nyengine ni Phenobarbiton pia inapatikana Nchi Nzima.

Na Mwisho Nakushauri Kaonane Na Daktari umuelezee hilo tatizo lako.
 
Kimsingi kwa pande zote mbili nikimaanisha baba na mama magonjwa haya hakuna.Lakini pia nitaenda hospatal kucheck ili ni confirm kama ni tiba nianze mapema,
Asanteni sana kwa mawazo yenu
 
Back
Top Bottom