gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,283
- 3,274
Kwa takribani miezi sita sasa nimekua na tatizo lakustuka stuka nikiwa usingizini.Mwanzo nilihisi kama naota lakini ilitokea nimelala na mtu ndipo amenieleza ninavyokua.
Hua mwili unakakamaa kwa sekunde kadhaa kisha narudi kwenye hali ya kawaida aidha niendelee na usingizi ama niamke.
Sasa sijui hizi ni dalili za tatizo gani naomba kama kuna Dr mwenye kuelewa dalili hizi anifafanulie kwani nimeanza kuingia hofu sasa.