Hizi dalili ni ugonjwa au hali ya kawaida?

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,619
2,013
Nimeona kuna mabadiliko kwenye sperms. Kwa kawaida huwa zinatoka zikiwa nyeupe na zikiwa nyepesi kama fluid. Now nimeona mabadiliko, wakati wa kutoka zinakuwa nzito alafu hazitelezi. Na kwa sababu ni nzito nzito wakati zinatoka nahisi kama zinatoka kwa shida. Na zikishatoka hazisambai zinakuwa na mabonge, Je, hii hali ni ya kawaida au kuna tatizo? Kwa upande wa mkojo hakuna tatizo uko normal. Kwa sasa naishi peke yangu nikienda kukojoa kama mara tatu hivi bila kumwaga maji chooni kunakuwa na harufu ambayo si nzuri sijui ni uchafu gani wadau hebu nipeni uzoefu.
 
Back
Top Bottom