Hizi 'composition' zina maana gani kwenye maji ya kunywa?

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Wataalamu wa KEMIA mtusaidie tunaponunua maji kitu gani cha msingi cha kuangaliaaa?

Huwa nasikia sikia wengi wanasema maji yenye sodium ndogo ndio mazuri.

Mwenye uelewa hizi composition zina maana gani kwenye maji ya kunywa

Calcium
Chloride
Flouride
Potassium
Sodium
PH

Msaada kwenye tuta
 
Ngoja Nika Google standard zake nakuja na majibu maana nishasahau japo nimepita chuo Cha maji water lab ila kukaa home hila ajira mpk material yame vapour washkaj
 
Back
Top Bottom