Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

Mkuu hiyo ni typo error, after all hiyo ni replica. Corrections zitafanywa kwenye original check itakayokuwa issued. Not a big deal, but it's embarassing.

Wote mnaokazania kuwa 'it is not a big deal!' mnachekesha! Until they do what, it will be a big Deal?? Mpaka siku Raisi Wenu amkabidhi Rais Kibaki zawadi ya kinachodhaniwa kuwa ni picha yake yeye Kibaki na imeandikwa hivyo...kumbe taswira iliyochorwa ni ya Rais mstaafu Joji Kichaka??? hapo ndipo mtakapokubali kuwa raisi wenu na wasaidizi wake kuna tatizo?????
Kwenye nchi zinazoendeshwa na utawala wa sheria kikweli kweli na sio kwa domo kaya, 'kumuumbulisha' hivi raisi wa nchi hadharani MARA TATU some stupid heads should have been rolling by now! Not in our Bongoland. Poor we.
 
Makosa ya kwenye hundi mfano yanajadiliwa kura 6 ndani ya JF. Hundi zenyewe wala hazikuandikwa na JK wala Mkewe. Chuki kwa Rais wetu inatokana na nini?

...Mkuu WildCard. Usipende sana mtu/kitu mpaka unapoteza common sense yako.
 
Akili zinatofautiana wewe unaangalia mwisho wa makosa kwenye hundi but others are looking beyond that.

Wengi wenu hamjawahi kuwa viongozi mkahudhuria hafla kama hizi. Najua mnayo mengi juu ya JK na familia yake. Kwa hili naomba kutofautiana nanyi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom