Mara ya kwanza tulisikia mlango umeleta shida na abiria wakaanza kuhamanika. Leo tena abiria wa Mwanza wameshindwa kusafiri baada ya ndege (Bombadier Q dash 400 kupata hitilafu. Isije kuwa maneno ya Zitto kuwa ni mitumba yakawa ya kweli.
Nawasilisha
:: Abiria Mwanza Washindwa Kusafiri Baada Ya Ndege Ya Bombadier Q Dash 400 Kupata Hitilafu
Nawasilisha
:: Abiria Mwanza Washindwa Kusafiri Baada Ya Ndege Ya Bombadier Q Dash 400 Kupata Hitilafu