Hizi Bodi naona hazina Faida zivunjwe zote

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Wakala wa Serikali na Idara mbali mbali uwaga zina bodi lakini kusema ukweli izi bodi hazina mchango wowote katika utendaji wa idara na wakala wa Serikali,
Mfano utasikia
1:Bodi ya madini
2:Bodi ya utalii
3:Bodi ya Shule
5: nk
Izi bodi wengi ni wapigaji bora utaratibu wa kuwa na bodi uvunjwe hawana lolote zaidi ya upigaji
Nawakilisha
 
Kazi za bodi unazijua? Kama unazijua tuambie nini hasara ya hizi bodi kabla hazijavunjwa?
 
Wakala wa Serikali na Idara mbali mbali uwaga zina bodi lakini kusema ukweli izi bodi hazina mchango wowote katika utendaji wa idara na wakala wa Serikali,
Mfano utasikia
1:Bodi ya madini
2:Bodi ya utalii
3:Bodi ya Shule
5: nk
Izi bodi wengi ni wapigaji bora utaratibu wa kuwa na bodi uvunjwe hawana lolote zaidi ya upigaji
Nawakilisha
Bodi ya maziwa, nayo ipo
 
Siyo bodi tu kuna taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi sawa! Ushauri wangu kuna haja ya kuunganisha taasisi nyingi zinazoelekeana majukumu!
 
Hazina maana wapo kimaslahi sana. Bodi ya pamba, tumbaku,korosho nk. They are nugatory and much corrupt.
 
Back
Top Bottom