Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,936
- 4,347
Siyo Bongo tu Mkuu ata huku Bondeni zinavaliwa sana tu.teh
akafu hazina viwango..yaan bongo tunapenda hela za chapu sana!
Barakoa za vitenge?
Sent using Jamii Forums mobile app
teh
akafu hazina viwango..yaan bongo tunapenda hela za chapu sana!
Barakoa za vitenge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wanasema hizo zinazotoka nje Zina koronateh
akafu hazina viwango..yaan bongo tunapenda hela za chapu sana!
Barakoa za vitenge?
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh!Siyo Bongo tu Mkuu ata huku Bondeni zinavaliwa sana tu.
Aliyesema may be ana uhakika,ila mimi japo sijafanya utafiti nikalifahamu hiloSi wanasema hizo zinazotoka nje Zina korona
😆😆😆
Huyo naye kwa nini anazurula na mtoto kwenye daladala?Halafi akifika home anatumbukizwa kwenye fukizo pia. Dhuu Mungu atunusuri kwa kweli
Hivi hiyo mtu anavaaje
Jambo la kusikitisha ni kuwa huyo jamaa hajatambua hiyo changamoto ya upumuaji.mtoto amepachikwa barakoa alafu anaonekana kama ana changamoto ya upuaji