Hizi ndio trending za wanawake tangu uhuru mpaka sasa

samakiurembo

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
445
684
Punde baada ya uhuru ilianza kuvaa suruali na nguo za kubana.

1664108098881.png

Ikaja kuva nguo fupi ikawa ndio fashion kwa asilimia kubwa ya wanawake wanavaa hivyo

1664108226377.png

Ikaja kujichubua asilimia kubwa wakaingia kwenye trending hiyoo

1664108305749.png

Ikaja kwenye kuongeza makalio wakajaaa woteee

1664108705879.png

Sasa trending ipo kwenye kuzalia nyumbani na kuwa single mothers

1664108878872.png

Sijui ikitoka hii itakuja nini
 
Single maza ni mwanaume kasababisha
Halafu wanajitapa humu hawajui vijana wadogo hao! ndo maana hawafanikiwagi kimaisha! wanoongozwa na mafisadi walio na familia zao hawajui tu! wakija juu wanauawa hovyo hkn wa kuwalilia!

Wajanja/wenye maarifa/ mafanikio/utajiri wanaamini kuwa ''to every successive Man behind there is a woman! en this must be his Mother/wife Maskini wanaamini kinyume na hili..... sasa njoo tu!! tuyaelimishe haya!

halafu kumbuka anaye ropoka ivo ana Mama yake! amenyonya! ndo anamkashfu ivo bila lepe la aibu!!
 
Na pia wanasahau kuwa wana watoto wa kike au watakuja kupata watoto wa kike.
 
Yaani hapa umemaliza kabisaa!!....mbumbu hao wanacheza na laana juu ya watoto wao kwa kukashfu Mama zao! tena hivyo vitoto vya kike wanaitaga majina ya Mama zao!

ke wengi huwa tuna tabia za kunyamaza! sasa hapo ndo wanakandamiza kabisaa!!...anaye sema hivo atajisikiaje km mwanae wa kike anaemlipia karo, akipotezewa masomo kwa kujazwa mimba na kuachwa hapo??

si ndo hawa hawa! huwa wanabeba mapanga na kumsaka aliye fanya ivo?? anasahau kuwa aliwahi toa kashfa humu?? na ukipima saana! hawa wa ivi ni wale madomo zege?

yanasotea papuchi weee! mwingine mwenye swaga tamu akibeba yananuna! sasa yana hasira na Kei!... Me hawa ni watu wa ajabu sana, ebu fikiria mtu anakuona anaanza kulia tyuuuu!!

anajigala gaza weee! ndo anatongoza ivoo!!..... ..utajuaje wa ivo?? anakuja anakaa getini tuu km mlinzi! heee!! wana hasira ya kukataliwa!

sasa me vilaza wanakuja na swaga eti single maza ili yooote hayo tujisikie vibaya tu!! .....utadhani dhambi sijui???sisi hao hao ndo tunawapa upako!
 
Laana inatoka wap tena jaman tusiambiane ukweli
 
Mbona hasira sana madam?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom