Hiyo 4,000,000 ya kitambulisho cha mjasiriamali ni Mtaji, Mapato au Mauzo.....Wahasibu nisaidieni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,562
Nimejiuliza swali hili baada ya kumsoma RC Anthony Mtaka wa Simiyu akisema amekabidhi kadi 25 elfu kwa wakuu wake wa wilaya. Mtaka amesema wanaostahili kupewa vitambulisho ni wale ambao " Mauzo" yao kwa mwaka mi chini ya sh 4,000,000.

Wahasibu nisaidieni, Je Mtaka yuko sahihi?
 
Huenda naye kaagizwa hivyo na bosi wake, wamachinga hoyeeee! kidumu chama cha makamuzi! Sasa kabla hatujaendelea sote tusimame ili tuimbe ule wimbo wetu maarufu moja...mbili... tatu ,hatunywi sumu hatujinyongiiiiiii.....
 
Write your reply...Huenda naye kaagizwa hivyo na bosi wake, wamachinga hoyeeee! kidumu chama cha makamuzi! Sasa kabla hatujaendelea sote tusimame ili tuimbe ule wimbo wetu maarufu moja...mbili... tatu ,hatunywi sumu hatujinyongiiiiiii.....
Naona wewe siyo mhasibu!
 
TRA wanaangalia mauzo na si mtaji kwenye kukotoa kodi
Tena mauzo ghafi
 
Unajua hiyo ni sawa na shillingi Ngapi kwa siku?
TZS 10,000 na zaidi kidogo na hawa ni wale wa Katanga, pipi, nk! Yawezekana makadirio ni ya chini na yanawaacha wengi nje ya bracket lakini kwa kweli hao wadogo wadogi ndo wengi zaidi. Natumaini mh Mtaka amefanya homework yake vizuri!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom