Hiyi tabia ya kukosa kujiamini unapopita kwenye umati wa watu wengi

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,080
Unakuta unatembea mtaani kwa kujiamini sana ili linapokuja suala la kupita katikati ya watu
Na wakaanza kukutazama

Mara hali hubadilika hujikuta kama miguu inagongana hivi kama pumzi inashuka fulani
Ila unajikaza kisabuni ukipita hilo eneo unajikuta uko kama mwanzo

Hiyi hali utokana na nini wakuu
 
Njia ya kubadilisha matokea ili wao ndo wakose kujiamini ni moja tu kama ulipita JKT ukafundishwa kusimama na kutembea ukiwa unaangalia mita 100 ile ina maana kubwa sana, jifunze kuwatazama watu usoni hata ukiwa unapishana nao barabaran hiyo mbinu itakufanya uogopewe had na wahalifu maana wewe utaonekana unajiamini na wao watapoteza kujiamini kwa kias fulan hapo ushindi unabeba wewe.

Ukimuangalia mtu alaf ukakwepesha macho mtu anagundua kabisa hujiamin tofaut na ukamkazia macho ye lazma apoteze point hapo hata demu mtongoze ukiwa unamuangalia usoni uone jins atakavyo poa hata kama anakuaga wa moto
 
Naona leo haujaambatanisha na zile picha zako za photoshop

Anyway sie wengine mshipa wa aibu ulishapoteza fahamu tangu zamani na ukizingatia wengine hatunaga mbishe za kutaka kuwavutia watu au nini hivyo huwa tunapita tu bila shida
 
Mkuu hiyo kitaalamu inaitwa anxiety disorder, ni moja ya magonjwa ya akili. May be ulishawahi kuabika mbele za watu kwa hiyo umebaki na ile kumbukumbu mbaya (trauma) kwa hiyo ukipita mbele za watu unakosa kujiamini unahisi kama watu wanakuongelea (fear of being judged).
 
Unakuta unatembea mtaani kwa kujiamini sana ili linapokuja suala la kupita katikati ya watu
Na wakaanza kukutazama

Mara hali hubadilika hujikuta kama miguu inagongana hivi kama pumzi inashuka fulani
Ila unajikaza kisabuni ukipita hilo eneo unajikuta uko kama mwanzo

Hiyi hali utokana na nini wakuu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nakupa mbinu ya kiaskari siku nyingine ukipità usiwatizame machoni ,bali watizame moja moja kwenye paji za nyuso zao fanya hivyo alafu uje utupe mrejesho
 
Kwa mwanaume Kama hujawah kufanya kitu chochote cha kishujaaa lazima uwe ndez mwanaume lazima ujiamin bhana
 
Back
Top Bottom