slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 271
- 327
Kweli mkuu cherehani haiwezi kutoa moshi na sebuleni inatosha vizuri tu haiitaji hata nusu hekaInategemea sana na maana yako ya kiwanda. Wengi hutegemea vile viwanda vya industrial revolution age ambapo kiwanda kinakuwa kiko kwenye eneo la zaidi ya eka moja na moshi unafuka kwenye majengo yake. Lakini viwanda vingi vya age hii huwa viko ndani ya plot moja tu na wala havitoi moshi kabisa.