hiviii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hiviii...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by roselyne1, Apr 9, 2010.

 1. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sijui hali halisi ya magereza hivi sasa...

  ila nilikuwa naangalia documentary ya prison moja huko marekani nikapata wazo...

  ..la kujenga 'workshop' kwa kila gereza na kutoa 'training' kwa wafungwa kama carpentry,welding...kozi fupi fupi za ufundi umeme etc..

  ...hii ingeweza kupunguza tatizo la madawati/meza etc katika mashule,,,na pia ingeweza kuprovide vitu kama vitanda katika mahospital yetu..

  most interesting ni kuwapa wafungwa 'skills'...watakazoweza zitumia kujiajiri ama kuajiriwa wakitoka gerezani...hivyo kuzuia wao kure-offend!

  mnaonaje?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbona ipo magerezani hii maneno kama kawa?Hujawahi kufungwa nini Mkuu?...Workshops za magereza zinatoa vifaa bomba kupita kiasi!Nenda kwenye TRADE FAIR uone vifaa vilivyotengenezwa na hawa jamaa vinavyogombaniwa!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nenda gereza kuu la Karanga Moshi mbona haya mabo yapo tu, kuna mafundi viatu na hata mafindi mabomba ya maji. Kwa wale wafungwa wa muda mrefu wanafundishwa hayo.
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jumbe haya mambo yapo hata mie nilikuwa sijui
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  yapo sana wapendwa tena vifaa vinavyotengenezwa na wafungwa vipo bomba sana...kwenye maonyesho ya biashara lazima banda la magereza linakuwepo
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  MMhh..wakuu mnaongea kama mna personal experiences..
  Haya mimi mwenyewe sikuwa nafahamu. Gereza la karanga mimi nafahamu lina shamba tu...!
   
 7. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  asanteni wapendwa kwa kunijulisha kama hivi vitu vipo tayari...

  i just think with prisons being overcrowded,na baadhi ya shule zetu kukosa vifaa km madawati....ni kuwa,kuna 'manpower' huko magerezani ambazo bado haijatumiwa vizuri...lol
   
Loading...