Hivi Zitto Kabwe tangu aanze siasa amewahi kulala rumande?

Kuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.

Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!

Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!

Zitto ni Gold Digger
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom