johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
- Thread starter
- #21
Wa upinzani!wanasiasa wetu wanapigania matumbo na si maendeleo ya kweli ya Nchi yetu.
Wa upinzani!wanasiasa wetu wanapigania matumbo na si maendeleo ya kweli ya Nchi yetu.
Hoja dhaifu sana hii kwa hiyo kila MTU mwenye familia angekuwa anajiweka mbali hayo mabadiliko yaliyoletwa na wachache waliopigania yangetoka wapi.Siasa zina muda wake wa ku-take high risks na kuwa moderate.
Zitto alichukua risks enzi za 2005, sasa hivi ana familia inamtegea kwahiyo maisha yake siyo yake peke yake tena.
Hata Mnyika sasa hivi anasindikiza tu siku, ameshastaafu siasa kali.
Tatizo la vijana wengi wa CDM ni nyumbu wasionitambua na wasiojua kusoma alama za nyakati. Hata kama ukiwa sahihi kiasi gani, mtawala akiwa chizi utauliwa na hakuna kitu utapata na watu wengine wataendelea na maisha yao.
Yuko wapi Mawazo ????
Anyway, Vijana wa CHADEMA kuwekwa JELA na MAHABUSU ni mojawapo ya CV ya ukamanda wakati yeye Zitto anaamini kwenye akili na Hoja zake kwasasa.
View attachment 1895252
Au yule jamaa muoga kama kunguru lissu. Tangu apigwe bunduki anataka sera ya chadema iwe yeye kupigwa risasi 16 🤣🤣Kuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.
Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!
Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!
Kuna Watu Elimu zenu za Vyuo Vikuu mnazozimiliki huwa zinanipa Mashaka sana.Kuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.
Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!
Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!
Acheni siasa za kupinga kila kitu, acheni siasa za fujoKuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.
Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!
Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!
Wewe unatarajia upigwe risasi ngapi ndiyo uishi Kwa tahadhari kama Lissu na uwaambie watu kua ulifanyiwa vibaya?Au yule jamaa muoga kama kunguru lissu. Tangu apigwe bunduki anataka sera ya chadema iwe yeye kupigwa risasi 16 🤣🤣
Mbona CCM mnapinga kila jambo linalofanywa na Chadema, hamulioni hilo?Acheni siasa za kupinga kila kitu, acheni siasa za fujo
Hahahaaaa........!Mbona CCM mnapinga kila jambo linalofanywa na Chadema, hamulioni hilo?
Shame on you.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Umepanic wewe, kunywa maji mengiMbona CCM mnapinga kila jambo linalofanywa na Chadema, hamulioni hilo?
Shame on you.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Siasa za kina Nyerere ni tofauti na sasa.Hoja dhaifu sana hii kwa hiyo kila MTU mwenye familia angekuwa anajiweka mbali hayo mabadiliko yaliyoletwa na wachache waliopigania yangetoka wapi.
Nyerere aliyekuwa anaongoza mapambano ya kudai Uhuru angesema akae kando sababu ana familia ingekuwaje?
Kuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.
Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!
Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!
Hoja yako wewe hapa ni nini? Unataka Zitto awe anaji-expose kupelekwa rumande au awe anachokoza dola halafu ndiyo ujue kuwa ni Kiongozi bora wa upinzani? Juzi juzi kuna kiongozi mmoja nilimsikia alipokuwa akihojiwa na BBC na alsema hivi "kuna tofauti kati ya fujo za kisiasa na uhuru wa kisiasa". Usimlazimishe Zitto afanye fujo wakati hataki kufanya fujo!Kuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.
Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!
Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!
Africa uwe mpinzani Bila kulala sero,we lazima utakuwa sio mpinzaniAahaa kumbe ukilala rumande ndiyo unaweza kuwa kiongozi mkuu wa upinzani
basi akae kabisa mileleAahaa kumbe ukilala rumande ndiyo unaweza kuwa kiongozi mkuu wa upinzani
kumbe kukaa ndani ndio upinzani, mnalalamika nini?? akae miaka 20 ndio atakuwa boooonge la mpinzani kama mandelaKuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa.
Zitto Kabwe anataka kuwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini lakini anaogopa sana " jela" sasa kwa uwoga huo atawaongozaje wapinzani kudai katiba mpya?!
Mwamba wa Upinzani ataendelea kuwa Freeman Mbowe!