Hivi zile tuzo za EATV-award mwaka huu hazipo?

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,119
1,095
Kama mnakumbuka mwaka jana mida kama hii kulikuwa na kimuhe muhe cha tuzo za eatv, lakin kwa mwaka huu mpk mida hii sijasikia fununu zozote kuhusu hizi tuzo, au mwaka huu hazipo.?
 
Vyuma vimekaza yawezekana hakuna faida inayopatikana ndo maana wamevunga kuzifanya Mwaka huu.... Vyuma mkuu vyumaaa
 
WCB kutoshiriki kwenye hizi Tuzo,kumewaharibia soko...kwa hiyo wameona bora watemane nazo tu kuliko kutrade on loss!

Kwa sasa hivi hapa tz, matukio ya namna hii kama WCB wakikosekana/hawashiriki huwa mvuto unapungua au unakosekana kabisa ktk tukio husika.
Tunzo zinafanyika na mshindi kashajulikana
 
Back
Top Bottom