HIvi zile Push Ups za wana -CCM zimesaidia nini Tanzania?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,234
33,825
Wakati wa Kampeni za mwaka 2015 wana - CCM waliibuka na staili ya kupiga Push ups. Kwa jinsi mambo yalivyoparaganyika chini ya uongozi wa chama hicho, najiuliza kama kuna tija yoyote ile imeshapatikana kwa wana CCM kupiga Push up kwenye uchaguzi wa mwaka 2015?

1541876988245.png

Aliyekuwa mwana CCM Razaro Nyalandu na wana CCM Mwigulu Nchemba na mwenzake, wakipiga Push Ups mbele ya aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2015, John Pombe Magufuli!!
 
Maskini Nyalandu sijui anaitizama vipi picha hii?! Hawakujua jamaa alikuwa nawafahamisha kuwa yeye ni ubabe tu maarifa hana.
 
Ilikuwa wanaonyesha ufiti wa kuweza kutatua matatizo hata kutumia jeshi na utimamu wa kimwili mpaka leo hii hawajakwenda kutibiwa south wala ubelgiji!
 
tumekuwa wababe
tangu anatafuta alionekana atatumia nguvu zaidi kuliko akili
 
Wakati wa Kampeni za mwaka 2015 wana - CCM waliibuka na staili ya kupiga Push ups. Kwa jinsi mambo yalivyoparaganyika chini ya uongozi wa chama hicho, najiuliza kama kuna tija yoyote ile imeshapatikana kwa wana CCM kupiga Push up kwenye uchaguzi wa mwaka 2015?

View attachment 929246
Aliyekuwa mwana CCM Razaro Nyalandu na wana CCM Mwigulu Nchemba na mwenzake, wakipiga Push Ups mbele ya aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2015, John Pombe Magufuli!!
ni kurukwa ba akili tu huku, mkuu.

mwenzao Nyalandu ana bahati fahamu zimemrudia.
 
Hiyo ilikuwa ni alama ya nyakati lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyeiona sasa wanajuta
 
Sometimes unaweza kufanya kitu unreasonably na kikakuumiza sana baadaye. Imagine wao watu wakiona hizi PCs na clip sasa! That's why wanasema kila MTU anaukichaa. Wenzetu hawa wameshonyesha ukichaa wao kwa jambo hili. Mungu ibariki Tanzania.
 
Is this topic worth a discussion at this early hour of the day?
wonders will never cease.
 
Back
Top Bottom