hivi zile nafasi utumishi walitanga mwaka jana zimeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi zile nafasi utumishi walitanga mwaka jana zimeishia wapi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pomo, Aug 6, 2011.

 1. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  habari wa jf
  naomba mnijuze zile nafasi nyingi sana zilitangazwa na utumishi mwezi wa kumi mwaka jana zimeishia wapi? mi niliomba nafasi ya mtendaji sasa naona kimyaaa kingi sana
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Zipi mkuu?
   
 3. M

  Mr. Masasi Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona watu walishaitwa na kupangwa kazini, uliomba wilaya gani ili nikuangalizie mana mpaka leo gazeti lenye majina ya walioajiliwa ninalo? Una sifa zipi kwani inawezekana ukawa huna sifa ndo mana walikupiga chini. Sifa za watendaj kama unakumbuka ni zipi walikuwa wanataka.
   
 4. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zilikuwa kibao,,kuna watendaji,,madereva,,,walinzi,,,wahasibu,,maauditor na nyingine nyingi tu
   
 5. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi niliomba wilaya ya bukombe,,dah huenda waliniita ila sikuona gazeti dah bora wangekuwa wanatutumia msg
   
 6. miss msemakweli

  miss msemakweli Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za kuaminika ni bado hawajaita kwani serikali haikuwa na fungu wakati ule so walizipotezea.
   
Loading...