Hivi zile movie za kichawi za Kinigeria wanaigiza matukio ya kweli?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,720
Nigeria pale pale (Nollywood) kuna movie zenye uchawi Sasa napenda kufahamu je katika uhalisia wa maisha Yao uchawi wanauamini kwa kiwango gani na Wana upractice kwa mfumo upi? Wa kienyeji au ndo huu wa ki Freemason sijui niuite hivyo.

Je, kweli wanigeria wale matajiri Ni wachawi sana? Uchawi wao ni wa Aina gani? Wachawi Wengi Ni wa dini gani?kesi za kichawi zinaamuliwaje mahakamani?

Maana me nachojua Wanigeria hawana uchawi wowote Zaidi ya ujanja ujanja na utapeli.na siku hizi nawaona ona kwenye picha za ngono.
 
Kwani ni live? Kama sio live Basi ujue wanacheza script. Script zote zina mapungufu mengi sana na uwongo mwingi ili kumsisimua mtazamaji na kuongeza mauzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom