Hivi zile dakika kadhaa ambazo Mwanaume huwa anavaa Condoms Mwanamke huwaza nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,617
2,000
Naomba kuwaulizeni hili swali kwani nimekuwa nikijiuliza sana na naona nachanganyikiwa tu kwani sijapata jawabu mujarab kabisa.

Hivi ule muda ambao Wapenzi wawili mnapokuwa Kitandani tayari kabisa kuanza Kubanduana ( kufanya mapenzi ) halafu Mwanaume anaanza kuvaa Condom tayari kabisa kuuchomeka Mkuyenge ndani ya Mbunye Mwanamke zile dakika za ukimya akimsubiria Mwanaume amalize kuvaa huwa anawaza nini au hufikiria kitu gani?

Nitashukuru kwa majibu yenu Kuntu kabisa.

Nawasilisha.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,617
2,000
hivi inaanzaje kufika hata nusu dkk ukiwa unavaa--sekunde 08 tu mbona!
Mkuu kwa Mbunye zako za Kimboka kweli unaweza ukawahi hizo sekunde zako 8 ulizojinasibu nazo hapa ili uwakimbie Maaskari wale wa Jiji au Sungusungu lakini kwa Mbunye za Kishua lazima uvae kwa utaratibu na mikogo huku Mkuyenge ukitikisika tu kushoto, kulia, juu na chini kama Antenna za StarTimes.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom