hivi zile ajira 2000 za may 28 ndo tumepigwa changa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi zile ajira 2000 za may 28 ndo tumepigwa changa?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chuma cha reli, Sep 13, 2012.

 1. chuma cha reli

  chuma cha reli JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 1,794
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  mi sielewi utaratibu wa tume ya ajira kwenye kuita usahili

  1)wanaita kulikana na tarehe ya tangazo yaani FIFO?
  2)wanaita kulingana na na kipaumbele cha kazi yenyewe?
  3)wanaita kulingana na uhitaji na uharaka wa kazi yenyewe?

  nimeuliza ivo coz tangazo la may 28 mpaka sasa sijaliona wakiita usahili wala kulisikia kutoka kwa mtu yeyote,ikiwa kuna matangazo yalikuja mbele na wa2 wameshaitwa


  naombeni majibu na mawazo wadau.
   
 2. k

  kabye JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa.......................naona kimya sana
   
 3. k

  kabye JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi mwenyewe siwaelewi kabisa..................
   
 4. k

  kabye JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  subili subili nawe ......mpaka naona zzzzzzzzzzzzzzzz
   
Loading...