Hivi Zanzibar ni ya waafrika au ni ya wazanzibari?

Hizo ndivo akili za kiafrica zilivo na ndio mana tuna fail sana, mbona watu weusi wa Jamaica na Haiti hawajavamiwa kwenye visiwa vyao wakaambiwa kwamba kule si pao kwa vile wao sio asilia?

Waafrica tunatakiwa tuache ubaguzi na ubinafsi.

Kwa kifupi tu, Zanzibar ipo kabla ya Tanganyika, Taifa la Zanzibar lilikuepo kabla ya Taifa La Tanganyika, Sasa watanganyika sijui wanapata wapi fikra kuwa Zanzibar ni milki yao. Na hilo ndio tatizo halisi la huu Muungano wetu, Watanganyika wanahisi Zanzibar ni milki yao, Kwanini wasiingie na Burundi na Rwanda wakasema zao pia? Kwanini wasiende Mauritius pia wakasema pao?
Wajamaica hawakufika huko kwa utashi wao.

Hawakwenda kuvamia sehemu ya mtu yeyote, wao ni wahanga wa yaliyowatokea bila ya matakwa yao.

Unaposema Tanganyika haikuwepo una maana ardhi inayoitwa Tanganyika ilisombwa na kuletwa hapo na nani. Na hiyo ardhi ya Zanzibar hao walioikalia waliitoa wapi na kuisogeza karibu na ardhi inayojulikana sasa kama Tanganyika?

Mtatafuta kila njia ya kuhalalisha uvamizi wa eneo ambalo hamkupashwa kulivamia, lakini ukweli ni kuwa uvamizi ulifanyika na mliowavamia sasa hawataki muendelee kuwanyanyasa kwenye eneo mlilovamia.

Kama mnataka kukaa kwa amani, tulieni hakuna atakayewabughudhi, lakini kutaka kudai haki mahali ambapo hamkutumia haki kupakalia hapo sio sawa.

Burundi na Rwanda zingekuwa chini ya wahamiaji haramu toka mbali waliojitangazia eneo hilo kuwa mali yao, maeneo hayo yangekuwa halali ya Tanganyika kuyachukua kama wenyeji wa huko waliondolewa na wageni wavamizi wasijulikane waliishia wapi.

Wavamizi wa Zanzibar hawana tofauti yoyote na wale settlers wa kiingereza hapo Kenya na kule Rhodesia, ambayo sasa ni Zimbabwe.
 
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA!!) pasi na kutotaka kujiongeza kwa kujua MUAFRIKA ni nani??? na MZANZIBARI ni nani???

Kumeibuka wimbi kubwa la watu kutoka mataifa mbali mbali kuvamia visiwani Zanzibar na kujiita ni Wazanzibari kwasababu tu ya kauli mbiu ya kisiasa ya wadumisha Muungano inayosema (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA) kauli mbiu ambayo inatoa Uhalali wa wageni toka nchi jirani na Zanzibar kujitwalia mambo yaliyokua yanawastahiki Wazanzibari Asili (sio wakaazi) kukosa;-
-Fursa zao ktk Taifa lao mama
-Haki zao za msingi
-Uhuru wao ktk Taifa lao mama la Asili
-Haki zao stahiki kwenye Taifa lao
-Maamuzi ya kitaifa na kiraiya pamoja na kiuongozi
Na mengi mengineyo......

Ni sawa na mfano wa Nyuki wachache waliojiundia jumba lao hatimae wakatokea Kundi kubwa la Mchwa na kuamua kulivamia hilo Kundi dogo la Nyuki...... Je hilo Kundi dogo la Nyuki litakua salama pamoja na hayo makaazi yao!!!! Jibu ni jepesi tu hayo makaazi yatageuka na kua ni makaazi ya Mchwa na itafika kipindi hakutoibuka hata Nyuki mmoja kuongea chochote juu ya hao Mchwa wavamizi....

Maana yangu ni kwamba Zanzibar ni Nchi ndogo na yenye Watu Asili wachache mnoo.... Inapoelekea Zanzibar baada ya miaka kadhaa mbele huko itegemee kua ni WILAYA ndogo ya TANGANYIKA kutokana na uvamizi mkubwa mno wa Wageni uliopo ktk Viunga vyake pia na sehemu Muhimu za kimaamuzi Serikalini Mfano;-
-Mahkama, Vyombo vya Usalama (PT,JWTZ, VIKOSI VYA SMZ),, Sekta za Kielimu, Sekta za Uwekezaji, Sekta za Ajira n.k!!!! Kwa muktadha huo Zanzibar imebakiwa na Nguzo moja tu kuu...nayo ni KATIBA ndio ambayo inaifanya walau hadi leo imebaki na baadhi ya kijiutawala kidogo cha ndani kinachoifanya iweze kuheshimiwa na Mchwa waliopo madarakani..

Pasipokua na juhudi maalum na ya lazima kwa Wazanzibari na Serikali yao kuweza kusimamisha Wazanzibari Asili wenye Uzalendo wa Taifa lao basi wategemee kupoteza;-
-Utaifa wao
-Utamaduni wao
-Utu wao
-Heshima, Uhuru na Haki zao
-Asili zao na historia zao na kubaki dhalili kwenye Taifa lao la Asili ya mababu zao..

Mara nyingi wanasiasa na wenye uchu wa madaraka Zanzibar hupenda kutumia mbinu za Wakoloni za (DIVIDE & RULE) yaani Wagawe na Uwatawale.... Mbinu ambazo zimewagawa Wazanzibari na kumwaga damu za ndugu zao kwa makundi tena bila ya hatia na kubaki Zanzibar yenye mgawanyiko wa jamii zinazochukiana na utabaka!!! Wanasiasa hao ambao si Wazalendo (Wachumia tumbo) wamekua mstari wa mbele kuwaimbisha Wafuasi wao nyimbo za chuki na za kulihujumu Taifa la Zanzibar kwa njaa za madaraka tu,, Utasikia "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" kwani kuna Taifa gani la Kiarabu au Kizungu au Kichina linalodai Zanzibar ni Nchi yake!!! Wanawafanya kana kwamba Wazanzibari hawana Haki ktk Taifa lao.........

Ifike mda Wazanzibari muwe na uwelewa juu ya kauli kma hizo...... "UAFRIKA ni Utu wa Asili ya Bara la AFRICA" na WAAFRIKA wote wana Asili zao ktk Nchi mbali mbali zilizopo Barani AFRICA.... Bara la AFRICA lina Nchi nyingi na watu wa jamii tofauti tofauti katika mataifa hayo....... Kwahio huo wimbo wa kusema "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" ni kufilisika kisera na kudumisha unyonyaji na uvamizi ZANZIBAR.....

ZANZIBAR NI YA WAZANZIBARI,,,,,,,,, WAAFRIKA KILA MMOJA ANA TAIFA LAKE
-Naomba hii Post yangu iwe ni kumbukizi pindi siku ikifika Mchwa wakitangaza kua ZANZIBAR ni Wilaya yao Rasmi!!!!!
Mkuu, Zanzibar ni ndogo? Kwani Tanganyika ipo wapi sasa!
 
Baadhi Wazanzibari wanaendekeza ukabila, kama alivyosema Mwalimu nje ya Muungano hakuna Wazanzibari, Kuna Wapemba, Waunguja nk.

Sijui mtoa mada anataka kwamba Zanzibar wajifungie tu peke yao na kusiwe na mwingiliano na watu wengine?

Je Mzanzibari ni nani? Ni Jamshid bin Abdulla au Amani Karume? Au wote?

Mbona Tamganyika imefutwa na Watanganyika hawalalamiki? Mbona kuna Rais wa JMT kutoka Unguja na mambo yapo vizuri tu?
Mie sikubaliani na kila alichokisema hayati Nyerere ni sahihi. Kabla ya muungano Unguja na Pemba walikuwa wamoja mbona, hayo ni nambo ya kutiana hofu tu kama hayati JPM alivotuasa.
 
Kama unalijua hilo si muwaache, mnawabeza huku mmewakumbatia nyie Wadanganyika ni hopeless kabisaaa, Zanzibar ni nchi kamili, kwa utahiraa wenu mmepoteza nchi yenu ya Tanganyika kisa kuungana na Zanzibar, sasa nani mjinga hopeless kabisa wewe
Alieolewa ni Tanganyika, maana baada ya Ndoa nchi yake ikafutika katika ulimwengu wa dunia halafu unakuja hapa unajisifu upuuzi ahahahaha, Zanzibar ilikuwepo na ipo mpaka leo, ebu tuambie ile Tanganyika ilioungana na Zanzibar ipo wapi? bureèeeee kabisaa wewe , tafuteni nchi yenu ahahahaha
Enyi maamuma wa Zanzibari tulishawaoa rasmi, huwa mnalalamika kuwa mnakandamizwa na kuwa Nyerere aliwaingiza mkenge hata Karume hakuridhia ila alidanganywa na mwisho kuuawa

Hayo ni maneno tu ya Mwanamke ndani ya ndoa na tumeshawazoea

Hatutawaacha huru kamwe. Hako ni kakisiwa tu
 
Wewe huna nchi mbona uelewi, nchi ilioungana na Zanzibar ni Tanganyika, ambayo haipo na imebaki story tu kama zakina Mkwawa, Acha kujichomeka kwa Zanzibar, ujinga wako umekuponza yaani Unapoteza nchi kisa Muungano ovyo kabisa
Yaani baada ya kukataliwa kwenu, na kamwe hamtakanyaga kule una ng'ang'ania Zanzibar kwetu wee thubutu!! kama ni yako kweli idai uone!! sisi ndo tunawaongoza na tutawaongoza mpaka mkome kamuulizie sultan aka kwambie alicho kipata mpaka leo hana hamu hata kutia mguu tu hawezi
 
Enyi maamuma wa Zanzibari tulishawaoa rasmi, huwa mnalalamika kuwa mnakandamizwa na kuwa Nyerere aliwaingiza mkenge hata Karume hakuridhia ila alidanganywa na mwisho kuuawa

Hayo ni maneno tu ya Mwanamke ndani ya ndoa na tumeshawazoea

Hatutawaacha huru kamwe. Hako ni kakisiwa tu
Huwezi kujua uchungu wa nchi kwasababu wewe hauna nchi, Karume alikuwa mjanja katu hakukubali Zanzibar ipotee, mjinga ni yule ambaye amepoteza nchi kwa ajili ya Muungano, kule UK kuna nchi kibao kama Scotland n.k, hawa wameungana lakini nchi zao zipo, wewe ni tahiraaa unajisifia muungano wakati nchi yako iko kaburini
 
Yaani baada ya kukataliwa kwenu, na kamwe hamtakanyaga kule una ng'ang'ania Zanzibar kwetu wee thubutu!! kama ni yako kweli idai uone!! sisi ndo tunawaongoza na tutawaongoza mpaka mkome kamuulizie sultan aka kwambie alicho kipata mpaka leo hana hamu hata kutia mguu tu hawezi
Inayo ongoza ni serikali ya Muungano, wewe Mapung'o hauna nchi upo upo tuuuuuu, nashangaa unavyopayuka hapa , watu wanapozungumzia nchi kaa pembeni uhai wa nchi yako ulikuwa miaka 3 tuuu, 1961 adi 1964 chaliiiiii
 
Huwezi kujua uchungu wa nchi kwasababu wewe hauna nchi, Karume alikuwa mjanja katu hakukubali Zanzibar ipotee, mjinga ni yule ambaye amepoteza nchi kwa ajili ya Muungano, kule UK kuna nchi kibao kama Scotland n.k, hawa wameungana lakini nchi zao zipo, wewe ni tahiraaa unajisifia muungano wakati nchi yako iko kaburini
Utaahira mnao ninyi mlioshindwa jipigania mpaka alipokuja Tito Okello

Ndio maana hata Elimu Hamna zaidi ya kutawadha, ni masifuri tu hata katika Elimu ya vyuo

Ninyi mnachojua ni kutawadha na kupika urojo peke yake

Mngekuwa wajanja msingekuwa mnalialia kila siku muwe huru, kwahilo Msahau

Ile ndoa haitavunjwa asilani hata akija Mtume Mudy
 
Okello sio pekee aliepigania uhuru nchi za kiafrica,wapo kibao wataje wote, ila hiyo haikupi uhalali kuuza nchi yako kwa pipi, UK wameungana wale lakini kila nchi ipo mfano Scotland, nyie ni mmeuza nchi kwa muungano halafu mnajisifia ahahaaha, huu ni ujinga wa kiwango cha juu, TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar ), ebu tuambie Tanganyika imezikwa kaburi gani?
 
Utaahira mnao ninyi mlioshindwa jipigania mpaka alipokuja Tito Okello

Ndio maana hata Elimu Hamna zaidi ya kutawadha, ni masifuri tu hata katika Elimu ya vyuo

Ninyi mnachojua ni kutawadha na kupika urojo peke yake

Mngekuwa wajanja msingekuwa mnalialia kila siku muwe huru, kwahilo Msahau

Ile ndoa haitavunjwa asilani hata akija Mtume Mudy

Halafu nawewe unajiita mwana mabadiliko, My foot, CCM wataendelea kutawala Tanzania mpaka watakapochoka wao
 
Wajamaica hawakufika huko kwa utashi wao.

Hawakwenda kuvamia sehemu ya mtu yeyote, wao ni wahanga wa yaliyowatokea bila ya matakwa yao.

Unaposema Tanganyika haikuwepo una maana ardhi inayoitwa Tanganyika ilisombwa na kuletwa hapo na nani. Na hiyo ardhi ya Zanzibar hao walioikalia waliitoa wapi na kuisogeza karibu na ardhi inayojulikana sasa kama Tanganyika?

Mtatafuta kila njia ya kuhalalisha uvamizi wa eneo ambalo hamkupashwa kulivamia, lakini ukweli ni kuwa uvamizi ulifanyika na mliowavamia sasa hawataki muendelee kuwanyanyasa kwenye eneo mlilovamia.

Kama mnataka kukaa kwa amani, tulieni hakuna atakayewabughudhi, lakini kutaka kudai haki mahali ambapo hamkutumia haki kupakalia hapo sio sawa.

Burundi na Rwanda zingekuwa chini ya wahamiaji haramu toka mbali waliojitangazia eneo hilo kuwa mali yao, maeneo hayo yangekuwa halali ya Tanganyika kuyachukua kama wenyeji wa huko waliondolewa na wageni wavamizi wasijulikane waliishia wapi.

Wavamizi wa Zanzibar hawana tofauti yoyote na wale settlers wa kiingereza hapo Kenya na kule Rhodesia, ambayo sasa ni Zimbabwe.

Bado Kaburu anambaki kuwa ni Msouth Africa na wewe unabaki kuwa ni mtanzania. Huwezi kuwa na haki yoyote South Africa kwa kuwa wewe ni Mbantu.

Waafrica ni wabaguzi, na tuna lana acha hiki ziendelee kutuogelea tu.
 
Akili zimeanza kukurudi, Ata mimi nisipokuwa Mzanzibari , hiyo haiwezi kufuta uwepo wa nchi ya Zanzibar kwasababu ipo pale kisheria, wewe na ujinga wako umeitoa sadaka Tanganyika kwa gharama ya Muungano, narudia Wadanganyika ni hopeless

nimeitoa Tanganyika sadaka ajili ya zanzibar iko AFRICA uko sahihi kabisa!! hongera kwa kulijua hilo! kwetu sisi wana mapinduzi weusi ni sifa, tena kubwa, raha, Ushujaa!! tumefundishwa hivo!! na iko ndani ya myoyo yetu! wewe kwa sababu Africa haikuhusu unaona ni dhambi, tusi la kumtukana mtu ajisikie vibaya.
Good nimeitoa Tanganyika sadaka ajili ya Zanzibar?? na Zanzibar ni ardhi ya AFRICA Tanzania, uko sahihi kabisa! nakusifu kwa kulijua hilo! ni sifa ya ushujaa kwangu Mwanamapinduzi!! wewe sababu AFrica haikuhusu unaona ni dhambi! endelea kufikiri ivo!!

kwa taarifa yako tu Sina cha kupoteza nikijitoa sadaka kutetea Haki ya ardhi yangu ya utaifa!! na wanyonge weusi wanao nyanyaswa hata hujui kuwa Babu zetu walijitoa sadaka mara kibao tu ajili ya kututetea sisi Watanzania!! na Africa.

ndo zetu sisi wala siyo jamboa la kuonea aibu, au udhaifu hata kidogo, Muarabu fake ni aibu sana kufa kwa nchi isiyo yako huna cha kupoteza! hata usipotaka kuikomboa

chukulia mfano Palestina wamesha jionea ujinga kudai ardhi isiyo ya kwao! pale wapo kwa Msaada wa Vatican tu! iliwapa kwa muda waitunze ile ardhi!! sasa wenyewe wamerudi!! wamechukua kiulaiini.

lkn Zanzibar wenyewe ndo sisi hasa!! babu zetu walivua samaki huko!! tangia enzi na enzi kabla ya hilo likoloni la Oman!

Nina amini Africa ni moja iko hivyo na itakuwa hivo!! hata ufanyeje haitoki akilini!! nilifundishwa nikaelewa, Kamwe sidanganyiki na waarabu fake wakupita watoto wangu nitawafundisha hivo. inshaaalah!!!

km wewe ni Mwaafrica Mweusi Risasi ya moyo inakuhusu km tulivo mfanya Savimbi. Kambona Mohamed Babuu. nk ndo dawa yenu wasaliti! km ni Muarabu koko tutakusamehe! tunajua ndo akili zenu zilivo hatuta shughulika na wewe!

Najua fika Muarabu koko aka Chotara hawajawahi kumpenda Mtumwa Mweusi! na kamwe hawata mpenda hata iweje ajabu mnapenda African Land . weusi wamejaa hapo Oman hata kuwaonyesha tu kwa TV wajulikane wanaona kinyaa!!
ni Maskini mno!! wanahitaji ukombozi!

Ndo maana unanishangaa!! mimi kujitoa sadaka ajili ya zanzibar na ni kweli lazima ushangae sababu zanzibar haikuhusu utashangaa sana sababu hujui asili yako Muarabu koko hauna cha kupoteza, ndo maana Historia ya Mapinduzi huijui au hukuisoma kabisaa??

Hata hao ndugu zenu wapalestina mmeshindwa kuwakomboa dhidi ya Israel sababu mnajua fika hata pale walipo Middle east waarabu wapalestine koko siyo kwao! !! mtasema nini?? yaani mnapenda kudandia dandia tu popote pale Duniani mnapoona panafaa!

Ni hivi hatuko tayari kuipoteza Zanzibar! kawaambie waje wao!! na hatutapoteza kamwe!! unajidanganya kwa kile unachoita kujitoa sadaka hatuta aacha kujitoa ajili ya heshima ya nchi yetu na Bara la Africa hiyo sahau!!

Nchi yetu na Bara la AFRICA LOOTE ni mali yetu sisi watu weusi!! Mungu alitupatia kitambo sana!!, sasa loote hili itakuwa nchi moja sooon subiri uone maajabu utasubiri sana wewe muarabu koko.

Hiki ni kizazi kingine kabisa dogo hiki hakidanganyiki!! na kina akili sana dogo jiangalie sana, .. Unasema zanzibar ipo kisheria??? sheria za wapi ndani ya nchi yetu na Bara letu hili huru??? je!! ''AU'' inazijua?? haya ibara ya ngapi mwenzetu!!

Yaani sheria umeona ni hizo tu za Babu zako Mabeberu wa Vatican?? wakoloni wenzio wale ???? ambao hata hawa wapendi!! sasa wewe peleka mkaptula wako pale Vatican uone watakavyo kuchakza kwa vichambo wakutoe Baru heeee!!

Wanatujua jeuri yetu na bado tuna wawashia moto!! huku Pembeni Ebora na COVID zinawapiga! kwanza shukuru Mungu Una bahati sana ya kuishi mpaka leo hapo zanzibar wenzako hawana hamu hata ya kuota Zanzibar na hawajawahi kurudi hapo!

Wewe kamwe huwezi na huto jitoa sadaka ajili ya Zanzibar na Africa!! kwa lipi kwanza?? ajili ya nani?? angalia sisi sadaka tu tumejitoa nyingi sana Africa, achilia mbali zile za kuondoa babu zako!! na ktk hizo kafara sikuona muarab mpemba huko!

Okello!! na wakenya wengi alikuwa Mkenya jaluo wa kisumu yule!! akajitoa Zanzibar!! ndo zetu!! waafrica weusi kujitoa ajili ya wenzetu angalia vita ya Biafra tulienda sisi watanzania, angalia hapo ngazija, Msumbiji, zimbabwe, Zambia, SA nk. ni sisi!!

Kama hujui tulikuwa Makao Makuu ya nchi zilizo Mstari wa mbele katika ukombozi wa Bara la Africa, na bado tuko hivo kivingine sasa hivi tuko tunasafisha safisha wenye fikra potofu km wewe!!!

Haya Congo DRC ya leo watanzania kibao wamejitoa sadaka kabisaaa tena wazi wazi sijakosea narudia tena !!! hivi majuzi tu ili ndugu zao wawe Huru kutoka kwa vibaraka wa Mabeberu km wewe! Hatukubali lazima tuna wawashia moto!! mtake msitake!!

Wewe jaribu kuleta chokochoko hapo uone tutakavyo kuwashia weeee!!
 
Inayo ongoza ni serikali ya Muungano, wewe Mapung'o hauna nchi upo upo tuuuuuu, nashangaa unavyopayuka hapa , watu wanapozungumzia nchi kaa pembeni uhai wa nchi yako ulikuwa miaka 3 tuuu, 1961 adi 1964 chaliiiiii
Thubuuutu!! Tanganyika ilikuwa nchi ya Makoloni Makandamizaji, Mababu zenu hao! walio watelekeza humu unasikia??? tukawapiga kwa maneno tu haooo! wakaona aibu wakakimbia!!!

siwezi lilia kisicho changu hakinihusu!! ... yangu Mimi ni Tanzania!! tena naipenda kwa Moyo wote fungua akili hiyo!! naenda panda Boat sasa hivi..... naja ntarejea jioni .....

Kila siku tunaimba hivi unaishi wapi wewe? porini nini? usikiagi kale kawimbo katamu...Tanzania! tanzania!! nakupenda kwa moyo wote.....mnatuone wivu tunavo kula na kusaza na bado!! mpaka mjinyonge!!
 
Waafrica ni wabaguzi, na tuna lana acha hiki ziendelee kutuogelea tu.
Mtakoma na bado! dawa ya moto ni moto tu!! Mlivo tuuza utumwani kama mbuzi Mnadani tena uchi wa mnyama! bila chembe ya huruma!! eti bado tuendelee kuwapenda tu bure?!! kwa sababu mnatuona mataahira au!!

tena mshukuru sana hao viongozi waliopo madarakani ni waungwana mnaweza ongea humu kwa uhuru mwaenda Bara mwala Bure Shekhe, biashara bwena mwafanya! mnaonyesha kaujeuri mweee!!
yaani Cauccasians wote asili yao ya ubaguzi haipotei! utawajua tu!

Sisi weusi ni kizazi cha father Abraham, Isack and Jacob ndo maana utumwa unatuhusu!! kamwe lazima mtuchukie tuuu!! ili tuendelee kuwa Pure breeding! ilitabiliwa miaka Mingi na sasa tunajitambua Mnoooo!!

Km muarabu ukiiba mke wa kiswahili ukazaa nae lazima mtoto awe chotara!! na lazima akatae na kuchukia alikotoka kwa weusi, atabaki kuwa chotara tu bin muarabu!! asili ya weusi weusi utabaki km ulivo!! Obama anajua siri hii!! aliugeukia weusi!

Jibaguzi lilotukuka Duniani nalo bila chembe ya aibu linasema!! eti mbaguliwa!! ni Mbaguzi?? Loool!! dhambi zenu za kutuuza! ndo ujue zinawatafuna na bado zitakutafuna mno! tegemea mengi mauza uza, utabaguliwa mpaka na ng'ombe wako wa kumfuga??? ooh!! ajabu ya Musa....

atakuja kiongozi kichwa maji zanzibar tuone kama hamja mbeba km Idd amini alivowafanya Babu zenu pale Kampala!! kimbieni mapemaa!! mwenye kujua zile picha aweke tumpe fundisho huyu bwege ....
 
Thubuuutu!! Tanganyika ilikuwa nchi ya Makoloni Makandamizaji, Mababu zenu hao! walio watelekeza humu unasikia??? tukawapiga kwa maneno tu haooo! wakaona aibu wakakimbia!!!

siwezi lilia kisicho changu hakinihusu!! ... yangu Mimi ni Tanzania!! tena naipenda kwa Moyo wote fungua akili hiyo!! naenda panda Boat sasa hivi..... naja ntarejea jioni .....

Kila siku tunaimba hivi unaishi wapi wewe? porini nini? usikiagi kale kawimbo katamu...Tanzania! tanzania!! nakupenda kwa moyo wote.....mnatuone wivu tunavo kula na kusaza na bado!! mpaka mjinyonge!!
Hakuna kitu kibaya kama kujitoa akili, Tanzania ni nchi ya wote kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar, ukweli mchungu hapa ni kuwa Zanzibar ilikuwepo na ipo mpaka leo, halafu kuna watu wameitoa sadaka nchi yao kisa muungano, huu ndio tunaita ujinga wa kiwango cha lami, wewe hauna nchi nje ya Muungano
 
Good nimeitoa Tanganyika sadaka ajili ya Zanzibar?? na Zanzibar ni ardhi ya AFRICA Tanzania, uko sahihi kabisa! nakusifu kwa kulijua hilo! ni sifa ya ushujaa kwangu Mwanamapinduzi!! wewe sababu AFrica haikuhusu unaona ni dhambi! endelea kufikiri ivo!!

kwa taarifa yako tu Sina cha kupoteza nikijitoa sadaka kutetea Haki ya ardhi yangu ya utaifa!! na wanyonge weusi wanao nyanyaswa hata hujui kuwa Babu zetu walijitoa sadaka mara kibao tu ajili ya kututetea sisi Watanzania!! na Africa.

ndo zetu sisi wala siyo jamboa la kuonea aibu, au udhaifu hata kidogo, Muarabu fake ni aibu sana kufa kwa nchi isiyo yako huna cha kupoteza! hata usipotaka kuikomboa

chukulia mfano Palestina wamesha jionea ujinga kudai ardhi isiyo ya kwao! pale wapo kwa Msaada wa Vatican tu! iliwapa kwa muda waitunze ile ardhi!! sasa wenyewe wamerudi!! wamechukua kiulaiini.

lkn Zanzibar wenyewe ndo sisi hasa!! babu zetu walivua samaki huko!! tangia enzi na enzi kabla ya hilo likoloni la Oman!

Nina amini Africa ni moja iko hivyo na itakuwa hivo!! hata ufanyeje haitoki akilini!! nilifundishwa nikaelewa, Kamwe sidanganyiki na waarabu fake wakupita watoto wangu nitawafundisha hivo. inshaaalah!!!

km wewe ni Mwaafrica Mweusi Risasi ya moyo inakuhusu km tulivo mfanya Savimbi. Kambona Mohamed Babuu. nk ndo dawa yenu wasaliti! km ni Muarabu koko tutakusamehe! tunajua ndo akili zenu zilivo hatuta shughulika na wewe!

Najua fika Muarabu koko aka Chotara hawajawahi kumpenda Mtumwa Mweusi! na kamwe hawata mpenda hata iweje ajabu mnapenda African Land . weusi wamejaa hapo Oman hata kuwaonyesha tu kwa TV wajulikane wanaona kinyaa!!
ni Maskini mno!! wanahitaji ukombozi!

Ndo maana unanishangaa!! mimi kujitoa sadaka ajili ya zanzibar na ni kweli lazima ushangae sababu zanzibar haikuhusu utashangaa sana sababu hujui asili yako Muarabu koko hauna cha kupoteza, ndo maana Historia ya Mapinduzi huijui au hukuisoma kabisaa??

Hata hao ndugu zenu wapalestina mmeshindwa kuwakomboa dhidi ya Israel sababu mnajua fika hata pale walipo Middle east waarabu wapalestine koko siyo kwao! !! mtasema nini?? yaani mnapenda kudandia dandia tu popote pale Duniani mnapoona panafaa!

Ni hivi hatuko tayari kuipoteza Zanzibar! kawaambie waje wao!! na hatutapoteza kamwe!! unajidanganya kwa kile unachoita kujitoa sadaka hatuta aacha kujitoa ajili ya heshima ya nchi yetu na Bara la Africa hiyo sahau!!

Nchi yetu na Bara la AFRICA LOOTE ni mali yetu sisi watu weusi!! Mungu alitupatia kitambo sana!!, sasa loote hili itakuwa nchi moja sooon subiri uone maajabu utasubiri sana wewe muarabu koko.

Hiki ni kizazi kingine kabisa dogo hiki hakidanganyiki!! na kina akili sana dogo jiangalie sana, .. Unasema zanzibar ipo kisheria??? sheria za wapi ndani ya nchi yetu na Bara letu hili huru??? je!! ''AU'' inazijua?? haya ibara ya ngapi mwenzetu!!

Yaani sheria umeona ni hizo tu za Babu zako Mabeberu wa Vatican?? wakoloni wenzio wale ???? ambao hata hawa wapendi!! sasa wewe peleka mkaptula wako pale Vatican uone watakavyo kuchakza kwa vichambo wakutoe Baru heeee!!

Wanatujua jeuri yetu na bado tuna wawashia moto!! huku Pembeni Ebora na COVID zinawapiga! kwanza shukuru Mungu Una bahati sana ya kuishi mpaka leo hapo zanzibar wenzako hawana hamu hata ya kuota Zanzibar na hawajawahi kurudi hapo!

Wewe kamwe huwezi na huto jitoa sadaka ajili ya Zanzibar na Africa!! kwa lipi kwanza?? ajili ya nani?? angalia sisi sadaka tu tumejitoa nyingi sana Africa, achilia mbali zile za kuondoa babu zako!! na ktk hizo kafara sikuona muarab mpemba huko!

Okello!! na wakenya wengi alikuwa Mkenya jaluo wa kisumu yule!! akajitoa Zanzibar!! ndo zetu!! waafrica weusi kujitoa ajili ya wenzetu angalia vita ya Biafra tulienda sisi watanzania, angalia hapo ngazija, Msumbiji, zimbabwe, Zambia, SA nk. ni sisi!!

Kama hujui tulikuwa Makao Makuu ya nchi zilizo Mstari wa mbele katika ukombozi wa Bara la Africa, na bado tuko hivo kivingine sasa hivi tuko tunasafisha safisha wenye fikra potofu km wewe!!!

Haya Congo DRC ya leo watanzania kibao wamejitoa sadaka kabisaaa tena wazi wazi sijakosea narudia tena !!! hivi majuzi tu ili ndugu zao wawe Huru kutoka kwa vibaraka wa Mabeberu km wewe! Hatukubali lazima tuna wawashia moto!! mtake msitake!!

Wewe jaribu kuleta chokochoko hapo uone tutakavyo kuwashia weeee!!
Acha kujidanganya Africa haiwezi kuwa moja na haitokuwa moja, wewe ukifika kenya kama hauna vibali unarudishwa kwenu, hivyo hivyo kwa Mkenya akija hapa, sasa hizi porojo zako sijui unamdanganya nani? Msaada sio sababu ya kutawala kwangu , ukimaliza kunisaidia unaendelea na shughuliii yako, Wadanganyika ni watu wa waliotoa sadaka nchi yao kwa ujinga na tamaa, yaani bila aibu Zanzibar ipo lakini Tanganyika hakuna halafu mtu anaona sawa haya masikitiko makubwa sanaaaaaaa ahahahhaha, nje ya Muungano Wadanganyika ni wakimbizi wasio na nchi
 
Mtakoma na bado! dawa ya moto ni moto tu!! Mlivo tuuza utumwani kama mbuzi Mnadani tena uchi wa mnyama! bila chembe ya huruma!! eti bado tuendelee kuwapenda tu bure?!! kwa sababu mnatuona mataahira au!!

tena mshukuru sana hao viongozi waliopo madarakani ni waungwana mnaweza ongea humu kwa uhuru mwaenda Bara mwala Bure Shekhe, biashara bwena mwafanya! mnaonyesha kaujeuri mweee!!
yaani Cauccasians wote asili yao ya ubaguzi haipotei! utawajua tu!

Sisi weusi ni kizazi cha father Abraham, Isack and Jacob ndo maana utumwa unatuhusu!! kamwe lazima mtuchukie tuuu!! ili tuendelee kuwa Pure breeding! ilitabiliwa miaka Mingi na sasa tunajitambua Mnoooo!!

Km muarabu ukiiba mke wa kiswahili ukazaa nae lazima mtoto awe chotara!! na lazima akatae na kuchukia alikotoka kwa weusi, atabaki kuwa chotara tu bin muarabu!! asili ya weusi weusi utabaki km ulivo!! Obama anajua siri hii!! aliugeukia weusi!

Jibaguzi lilotukuka Duniani nalo bila chembe ya aibu linasema!! eti mbaguliwa!! ni Mbaguzi?? Loool!! dhambi zenu za kutuuza! ndo ujue zinawatafuna na bado zitakutafuna mno! tegemea mengi mauza uza, utabaguliwa mpaka na ng'ombe wako wa kumfuga??? ooh!! ajabu ya Musa....

atakuja kiongozi kichwa maji zanzibar tuone kama hamja mbeba km Idd amini alivowafanya Babu zenu pale Kampala!! kimbieni mapemaa!! mwenye kujua zile picha aweke tumpe fundisho huyu bwege ....
Wadanganyika ni tatizooo, Zanzibar kuna watu weusi kwa weupe, lakini ni wazanzibar, kinachozungumzwa hapa ni mtu asiye Mzanzibari kutaka haki isiyo muhusu, ukipoteza nchi unakuwa zumbukuku aswaaa, Zanzibar ni nchi kamili, Danganyika ipo wapi?
 
Back
Top Bottom