Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mtu yoyote ambae anatafuta madaraka kwa nguvu haondoki madarakani kirahisi tumeona Mseven, Kagame, Kabila, Mugabe na marais wengi tu. Kwa demokrasia tuliojijengea kwanini tu kila siku maalimu seif? Yeye ni nani kati ya watanzania na wa zanzibar mamilion kwa mamilion?mbona kuna wapemba wasomi sana na wenye uwezo? Ameshika madaraka chungu nzima lakini halidhiki shida ipo wapi na huyu jamaa? Ninaamini ndani ya CUF kuna vijana sasa hivi wanazeeka kusubiri nafasi ya ukatibu baada ya mtu mmoja kushika nafasi hiyo kwa muda mrefu bila kustaafu.
Nimesoma hotuba ya maalimu seif ni kama anataka kuwaaminisha watu uongouongo tu. Nafasi ya kugombea urais wa Tanzania ni wa watu wote Mzanzibari ama Mtanganyika wote wana haki sawa. ila Zanzibar kama nchi inanafasi ya kuwa na rais wao. Masauni yupo pale ni waziri mama samia yupo pale ni Makamo wa rais.
Muungano wetu Tanganyika na Zanzibar ni wa watu na wala si nchi. nchi zipo, Ila watu wanaenda shule ,watu wanafanya biashara, watu wanalima ,watu wanatembeleana, watu wana uhuru wa kwenda popote na kuanzisha maisha bila kuulizwa na mtu. Mzanzibari akimuona mkenya Mwanza anamtimulia huko mbali na kumuonyeha kidole wewe si mtanzania.
Tanzania is our country ambayo haijwahi kutwaliwa na mtu yoyote na hii inatosha kutufanya tuonekane Tanzania is strongest country ever happen in history of this world.
Huyu haeleweki sasa maana kitendo cha kususia uchaguzi tu kinaonyesha uwezo wa akilia aliyonao. Mtu unasusia uchaguzi kwenye linchi imara na amani kama Tanzania?