Hivi Zanzibar kuna maeneo huwa yana baridi kweli?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Binafsi sijawah kufika katika nchi ya Zanzibar
Ila nikiangalia mwaka nzima viwango vya joto huwa vipo juu sana vikishuka sana labda 23 nyuzi

Vipi kwa Zanzibar kuna maeneo yenye baridi kali kama huku bara kwa baadhi ya maeneo?
 
Miezi ya kaubaridi ni March, April na May ambapo ni kipindi cha mvua kubwa.

Juni mpaka October ni kiangazi na joto la wastani kama leo ni 26 hivi.

Mwezi mzuri kabisa ni August.

Ila hali ya hewa za Zanzibar na Tanzania Bara yashabihiana.
 
Kumbe!
 
Back
Top Bottom