Elections 2010 Hivi Zanzibar ile ni selikali ya umoja wa kitaifa au ya vyama viwili?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Kwa uelewa wangu mimi, najua Selikali ya umoja wa kitaifa huundwa na vyama vyote ambavyo vinahusika katika kukamilisha uchaguzi mkuu wa vyama vingi, ninapo sema hivyo namaanisha vyama vyote viwe na muwakilishi kama si wawakilishi katika selikali kuu.

Sasa hapa Zenji kama si changa la macho what is that? naomba mfafanuo wa kilichofanyika zenji,, kama ni umoja wa vyama viwili yaani CCM na CUF? na vyama vingine vinanafasi gani? au havina nafasi,,

Mi naona hawa jamaa wamefunga ndoa sasa wanataka Mapenzi yao waiaribu nchi ya Zenj
 
Hivi ile Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekwenda wapi? wapemba watakuwa wanachekelea sana. in few years it will be in museum
 
Kwa uelewa wangu mimi, najua Selikali ya umoja wa kitaifa huundwa na vyama vyote ambavyo vinahusika katika kukamilisha uchaguzi mkuu wa vyama vingi, ninapo sema hivyo namaanisha vyama vyote viwe na muwakilishi kama si wawakilishi katika selikali kuu.

Sasa hapa Zenji kama si changa la macho what is that? naomba mfafanuo wa kilichofanyika zenji,, kama ni umoja wa vyama viwili yaani CCM na CUF? na vyama vingine vinanafasi gani? au havina nafasi,,

Mi naona hawa jamaa wamefunga ndoa sasa wanataka Mapenzi yao waiaribu nchi ya Zenj

Mkuu,
Wewe unataka, unaomba uelimishwe, ufahamishwe nini GNU halafu unasema hivi,"Mi naona hawa jamaa wamefunga ndoa sasa wanataka Mapenzi yao waiaribu nchi ya Zenj"

Ni wazi kuwa uelewa wako wa nini GNU ni mdogo.
Ushauri tu. Ni vizuri upitie hiyo sheria inayozungumzia GNU katika Katiba ya Zanzibar, halafu tafuta mifano katika nchi ambazo zinatumia mfumo huo popote duniani.
Pengine baada ya kujielimisha kidogo utaweza kui-rephrase hii," Mi naona hawa jamaa wamefunga ndoa sasa wanataka Mapenzi yao waiaribu nchi ya Zenj"

Walishaiharibu nchi yao kwa miaka mingi , sasa labda wametia akili ndio wanataka kuijenga upya.
Natumai unaelewa huko zenj walikuwa kwenye migogoro na miafaka tokea 1995. waacheni wavute pumzi kidogo.
Mimi naona experiment yao ikifana huko inaweza kujaribiwa na huku kwetu.
 
Hakuna serikali zanzibar.....ni utawala tu.....Serikali ya kweli lazima iwe ina jeshi lake,balozi zake nchi zingine na banki kuu yake....Zanzibar haina hivi vitu....tupumzike wandugu
 
Safari umejibu vyema bwana lakini Whai is Selikali ya kitaifa?
 
Acha kuwashtua manake wakishtukia tu muungano nao mwisho...
 
Safari umejibu vyema bwana lakini Whai is Selikali ya kitaifa?

Taifa lipi ndugu yangu? Hakuna taifa la Zanzibar...tatizo ni Maalim Sefu tu na kutaka ukubwa basi na wala si jingine...sasa kapata madaraka unaona hata CUF inapotea taratibu
 
Mkuu tatizo unang'ang'ana na jina badala ya 'kontentsi'
Issue sio vyama viwili ingawa ndio vilivyopelekea ikawa hivyo,
Kilichopo ni kwa mujibu wa katiba ni kuwa kama ikitokea vyama vikipishana kwa idadi flani ndogo ya kura na wabunge basi vitashirikiana kuunda serikali kwa mgawanyo uliowekwa thats all.
mfano uchaguzi ujao nccr ikipata 44% na cdm 53% basi chadema wataunda smz kushirikiana na nccr.
Natumai umepata picha
 
Still haiifanyi Zanzibar kuwa taifa....period...pale pan mfumo wa utawala...kwanza ni makosa kusema Serikali ya Mapinduzi(SMZ) wakati ni serikali iliyoletwa kwa kupiga kura...SMZ ni ile ya Karume ya 1964...baada ya 1995 haikuwepo tena......kwa kuwa vyama vingi vilirudi na uchaguzi wa kweli ulifanyika....labada kama waliipindua CUF iliyoshinda hiyo 1995........ukishapigisha kura watu basi dhana ya mapinduzi haipo tena
 
Utabishana weeeeee utachoka!!!
Watu hawaelezi haya yoote usemayo!!!!

Alalaye usmwamshe, ukithubutu utalala wewe.....
 
Hakuna serikali zanzibar.....ni utawala tu.....Serikali ya kweli lazima iwe ina jeshi lake,balozi zake nchi zingine na banki kuu yake....Zanzibar haina hivi vitu....tupumzike wandugu

Aah Safari, serikali si lazima iwe na hayo yote. Hayo yapo kwenye DOLA. Mf. Je serikali yako ya mtaa ina hivyo vyote ulivyovitaja?
 
Ushasema ya mitaa...najua zipo pia za wanafunzi,wafungwa nk.........hoja inaongelea ya ''taifa'' na mimi nakomalia hapo Zanzibar sio taifa wala dola....ni mfumo wa utawala katika Tanzania...hivi mfano Comoro ivamie Zanzibar nani atajibi mapigo TANZANIA au ZANIBAR?....noti za Zanzibar zinasemaje?....Balozi wa Zanzibar huko Kenya aitwaje:?......Taifa la Zanzibar lilikufilia mbali 1964...period...tumeachiwa mauzauza yasoisha...kama kili kitabu MAKE THE CORPSE WALK...impossibilium
 
Still haiifanyi Zanzibar kuwa taifa....period...pale pan mfumo wa utawala...kwanza ni makosa kusema Serikali ya Mapinduzi(SMZ) wakati ni serikali iliyoletwa kwa kupiga kura...SMZ ni ile ya Karume ya 1964...baada ya 1995 haikuwepo tena......kwa kuwa vyama vingi vilirudi na uchaguzi wa kweli ulifanyika....labada kama waliipindua CUF iliyoshinda hiyo 1995........ukishapigisha kura watu basi dhana ya mapinduzi haipo tena

Mkuu nilikua najaribu kumuelewesha mtoa mada juu ya hoja yake ya msingi, lakini naona sasa wewe umekomalia ile sio taifa wala serikali, tena unazidi kusema sio smz maana wamepiga kura tayari.
Kimsingi mimi nadhani unatatizwa na mfumo huu kwakua tu haujawahi tokea usa, uk, australia nk. Sehemu ambazo ndio unadhani tunapaswa kuwaiga kwa kila kitu.
Mkuu hivi ndivyo 'tulivyokubaliana' kuungana kutokana na mazingira yetu..
Nashindwa kuelewe unaposema sio ya mapinduzi tena kwakuwa wamepiga kura.
Unapaswa kujua kuwa moja ya sababu kubwa iliopelekea smz indelee kuwepo niwao kulinda neno mapinduzi
 
Back
Top Bottom