Hivi Zamaradi Mketema anampenda kweli Faiza au anampotosha?

Faiza wa kumsamehe na kumuombea tu zile ni stress ningekua naukaribu nae ninge mshauli aende kuonana na watu wa kitengo cha saikolojia, nadhali alitegemea makubwa kwa mheshimiwa lakini kwa sababu tusizo fahamu ghafla ndoto zikayeyuka imebaki story na mhesgimiwa anazidi kutajirika na huwezi jua kuna mchango wa jasho lake kidogo lazima aumie, ukirudi kwenye uhalisia wasichana wengi wa umri wake wame tulia na ndoa zao na bata kila sehem na wenzi wao, sio rahisi jamani hasa kwa mwanamke ambaye yupo above 35 kuzeeka pekeako kazi ngumu.
 
Jiulize je tabia ya faiza imeanza kuonekana baada ya urafiki wao kuanza au ni tabia aliyokuwa nayo faiza hata kabla ya urafiki wake na Zama?
Kama alimkuta na tabia hiyo na bado akajisogeza karibu naye basi ujue kuna kitu kinachowaweka karibu richa ya utofauti wa tabia zao.

Rejea pia misemo ifuatayo:
-Tabia ni kama ngozi ya mwili ni ngumu kuibadili,
-Maisha kuchukuliana na kuvumiliana.
 
Sio lazima tabia za rfk uwe nazo. Kwa hyo kama una marafiki zaidi ya kumi utakua na tabia zao wote
 
Aiseh dah , nawazaga kwa kweli , watu kama gigy na umber lulu wakiwa marafiki mtu hushangai coz akili zao nyingi zinaendana , Ila apa kwa faiza na zama nashindwa kuelewa kabisa🤣🤣🤣
Mimi sioni ajabu. Mtu ukishamjua tabia zake unamchukulia kama alivyo, hutakiwi kum judge. Mimi pia nina marafiki ambao kuna watu wanashangaa nawezaje kuwa karibu nao, Binafsi sioni tatizo as long as tabia zao hazinidhuru. Watu kuwa na tabia tofauti na za kwetu haimaanishi kuwa ni watu wabaya kwa jamii/ maisha yetu
 
Back
Top Bottom