Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Maswali mlikuwa mnapewa muda gani kabla ya kwenda kwenye shindano ?
Sio exact maswali mtakayaoulizwa ni sample questions lakini categories ni similar na format ya maswali ni sawa....
Si tulpata sample questions wiki moja kabla ya kwenda Kampala.....
Ila tunasoma Encarta, Encyclopedia, books of records na vitu ka hivyo ili mradi ni general knowledge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo sio kweli.. Mimi nilikuwa sua na nilishiriki pia... Mwaka huo huo 2007.... Weka taarifa yako ya vyuo vizuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
TATIANA usikurupuke read to understand and not to comment for the sake of it, soma tena maelezo yangu, nilikuwa najibu hoja ya mdau aliyesema kuwa kulikuwa na chuo kimoja tu cha Tanzania kilichoingia quarter finals katika miaka yote ya mashindano, nikaeleza hapo kuwa mwaka 2007 katika inaugural event, vyuo viwili, Mzumbe na UDSM viliingia quarter finals , na sikusema kuwa vyuo vilivyoshiriki ni hivyo viwili tu , obviously SUA , Tumaini na State University of Zanzibar , walishiriki lakini hawakufika quarter finals. Vijana tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa kabla ya kuanza kucomment.

anyway ni vizuri kujua kuwa tulikuwa wote 2007.
 
Umesomeka kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaaaaaaaahkaka Umenikumbusha Mbali Sanaaaa!Hii show Ilikuwa Hot Sana Na Mwalimu John Sibi Okumu (Man of the Questions)
Hakika kilikuwa ni kipindi kinachovutia wengi; watoto, vijana na hata wazee. Umaridadi wa bwana John Sibi-Okumu katika kuuliza maswali ulikifanya kipindi na mvuto maradufu.

Wale jamaa walikuwa sharp sana, maana kuna muda kabla hata muulizaji hajamaliza kuuliza swali, tayari alikuwa anapewa jibu.

Je, nini kilifanya hiki kipindi kupotea licha ya mvuto wake?

Nini kilikuwa kinakuvutia kwenye hiki kipindi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom