Hivi zaidi ya kambi ya jeshi Mafinga kuna kitu gani kingine?

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,390
Wakuu imekuwa kawaida kila unaposkia inazungumziwa mafinga iwe kwenye taarifa ya habari hta humu jamvini kwa namna moja ama nyingine itakuwa inazungumziwa kambi ya jeshi. Sasa najiuliza huko mafinga zaidi ya kambi ya jeshi kuna kitu gani kingine? Au ni mji wa wanajeshi watupu?


Uzi tayari
 
Mafinga ni maarufu kwasababu makao makuu ya wilaya ya Mufindi yapo hapo mafinga!
Kuna biashara kubwa sana ya mbao
Na vile vile kuna shule kongwe kabisa ambazo alizianzisha Mungai enzi hizo MET kwasasa inaitwa JJ Mungai mwaka 1984!

Na vingine vingi ukitaka nikudadavulie sema
Ahsante mkuu pliiz ongeza nyama km vp
 
Back
Top Bottom