Hivi zaidi ya kambi ya jeshi Mafinga kuna kitu gani kingine?

Kweli Moshi mji wa wagumu
Moshi pazuri kwa kutumia pesa huku ukiangalia kilele cha mlima kilimanjaro .
Saiv naona Moshi kwa utafutaji sio pema sana, boda ya Holili imedorora hamna kitu ,nilikuwa pale mwezi wa tatu ,sijaamin .
Moshi itakuja kuwa sehemu ya Makaburi ya matajiri wa mikoani (Wachagga)

Sasa hivi Wachagga wamejaa Manispaa ya Ubungo, na maeneo mbalimbali ya Dar na miji mikubwa.

Ukifika Kibamba, Mbezi, Kimara unaweza kudhani upo Moshi.

Kuna Mtaa pale Ubungo unaitwa Marangu, kuna Rombo, Kibo
 
hv kuna kabila wavivu kama wazaramo na Luguru

Mkuu taratibu ,wakija hao na jinsi wanajua kuongea ,itabadiki id

Makabila bila ya Tanga ni wavivu pia na wenyewe ,wanaume wako tepwe tepwe wengi .

Wako wanaume tanga hawez chimba shimo la taka yaan yuko mlain mlain kama wakike hiv .
 
Mkuu taratibu ,wakija hao na jinsi wanajua kuongea ,itabadiki id

Makabila bila ya Tanga ni wavivu pia na wenyewe ,wanaume wako tepwe tepwe wengi .
hahahhaha
Wako wanaume tanga hawez chimba shimo la taka yaan yuko mlain mlain kama wakike hiv .

ahahhahahaha my ribs
 
Najua ni wilaya ya mkoa wa iringa, lakini kila stori utayoskia kuhusu mafinga lazima itakuwa na uhusiano na kambi ya jeshi tht nikauliza

sasa mkuu ulitaka usikie habari gani kama watu waposhwari na wanaendelea na ujenzi wa taifa bila kuwa na bughudha, umeisha zoe kusikia taharifa za habari za sehemu nyingine zikijihusisha na ujangili,ujambazi,uchawi na kadhalika. huko hakuna mambo hayo mzee baba guko watu wanapiga pesa za mbao
 
Wakuu imekuwa kawaida kila unaposkia inazungumziwa mafinga iwe kwenye taarifa ya habari hta humu jamvini kwa namna moja ama nyingine itakuwa inazungumziwa kambi ya jeshi. Sasa najiuliza huko mafinga zaidi ya kambi ya jeshi kuna kitu gani kingine? Au ni mji wa wanajeshi watupu?

Uzi tayari
Kuna baridi
 
Hivi hakuna waganga wazuri hapo?
Nine anifanyie setting ya hii biashara yangu ya majeneza na vumbi
la Congo.
 
Haha hamna ubavu wa kuizid makambako
Mafinga ni mji na ndani ya Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, huo Mji ndipo yalipo makao makuu ya wilaya na mji huu una halmashauri yake.
Mafinga ni mji mzuri wa kibiashara haswa Mbao na umechangamka kuliko hata Makambako.
 
Jkambako ni junction nzuri sana, ila kumedorola hatari, hata maeneo ya kulala ambayo yanahadhi nzuri hupati. Wabena na wakinga hawataki kuufanya mji ukawa wa kibiashara,
Makambako ni junction nzuri sana, ila kumedorola hatari, hata maeneo ya kulala ambayo yanahadhi nzuri hupati. Wabena na wakinga hawataki kuufanya mji ukawa wa kibiashara,
Yan makambako mnaipiga Vita bdo inawakimbiza tu mtasubiri sna
 
Najua ni wilaya ya mkoa wa iringa, lakini kila stori utayoskia kuhusu mafinga lazima itakuwa na uhusiano na kambi ya jeshi tht nikauliza
Hofu imekutanda, we ni mharifu wa nini maana si kwa hofu hiyo ya geshi!!!
 
Wakuu imekuwa kawaida kila unaposkia inazungumziwa mafinga iwe kwenye taarifa ya habari hta humu jamvini kwa namna moja ama nyingine itakuwa inazungumziwa kambi ya jeshi. Sasa najiuliza huko mafinga zaidi ya kambi ya jeshi kuna kitu gani kingine? Au ni mji wa wanajeshi watupu?

Uzi tayari
Kuna uvunaji wa mbao.
 
Back
Top Bottom