Hivi zaidi ya kambi ya jeshi Mafinga kuna kitu gani kingine?

Nilishawahi pita one-time nikalala hotel moja inaitwa Saigon/Dragon, kama sikosei nilikula kuku choma ya kienyeji, ugali wa dona swaafi kabisa kwa bei nafuu....na castle light za kutosha....Mafinga mji safi sana........
 
Mafinga ni mji unaoongoza kwa guest house toka kinyanambo mpk saohill guest zipo zaid ya buku
 
Mafinga ni mji mdogo uliopo wilaya ya Mufindi
--Kuna shamba la miti ya mbao na nguzo SAO HILL Forest ambao hutoa malaki ya mbao kila mwaka.
--Kiwanda cha karatasi mgololo ni kiwanda pekee Tanzania.
-- TAN WATT ipo mafinga.
--Mashamba ya chai Itona etc
--kiwanda cha Chai-Bora.
---Kambi ya JKT Mafinga.
--Gereza Isupilo Mafinga.
---mashamba ya miti ya mbao ya watu binafsi.
---Kiwanda cha Pareto na kilimo chake.
--Soko kubwa la Mbao kwa nyanda za juu kusini
--Southern Highland secondary
--Ndo sehemu baridi ilipozaliwa.
---kilimo cha viazi mviringo kwa sana.
TAN WATT ipo mafinga?? Acha kudanganya watu mkuu... Sehemu gani ilipo tujifunze
 
Mafinga ni kitovu kizuri cha biashara ya mbao..ile ndo center..pia mafinga ni hub ya viwanda vya chai ...!yaan maviwanda ya chai ukifika Mafinga ndo unaanza kutawanyika...uwii Mafinga Mafinga Mafinga..huwez ifananisha na Morogork kwa mzunguko wa pesa hapana utaikosea sana Mafinga nadhan kwa sasa ni level 1 Na Kahamà...!Matajiri wa mbao wamelala pale😊😊😊...
 
Wakuu imekuwa kawaida kila unaposkia inazungumziwa mafinga iwe kwenye taarifa ya habari hta humu jamvini kwa namna moja ama nyingine itakuwa inazungumziwa kambi ya jeshi. Sasa najiuliza huko mafinga zaidi ya kambi ya jeshi kuna kitu gani kingine? Au ni mji wa wanajeshi watupu?

Uzi tayari
Pia ni mji unaoongoza bongoland kwa maambukizo ya virusi vya Ukimwi kutokana na mazingira yake ya baridi Kali Sana. Ukifanikiwa kufika huko,usiache kujipatia japo kiasi kidogo Sana Cha zawadi hiyo. OVA
 
Aisee mbona unanitisha
 
Pia ni mji unaoongoza bongoland kwa maambukizo ya virusi vya Ukimwi kutokana na mazingira yake ya baridi Kali Sana. Ukifanikiwa kufika huko,usiache kujipatia japo kiasi kidogo Sana Cha zawadi hiyo. OVA
Na ndio mji uliokuwa wa kwanza kulalamika kuadimika kwa kondomu.
 
Mafinga ni mji mdogo uliopo wilaya ya Mufindi
--Kuna shamba la miti ya mbao na nguzo SAO HILL Forest ambao hutoa malaki ya mbao kila mwaka.
--Kiwanda cha karatasi mgololo ni kiwanda pekee Tanzania.
-- TAN WATT ipo mafinga.
--Mashamba ya chai Itona etc
--kiwanda cha Chai-Bora.
---Kambi ya JKT Mafinga.
--Gereza Isupilo Mafinga.
---mashamba ya miti ya mbao ya watu binafsi.
---Kiwanda cha Pareto na kilimo chake.
--Soko kubwa la Mbao kwa nyanda za juu kusini
--Southern Highland secondary
--Ndo sehemu baridi ilipozaliwa.
---kilimo cha viazi mviringo kwa sana.
Hapo TANWAT umetulisha sumu mkuu
 
Back
Top Bottom