BIN BOR
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,013
- 407
Nilijawa furaha kumsikia Mzee Lukuvi akisema watanzania watalipa kodi ya nyumba kwa mwezi na sio mwaka au miezi sita kama ilivyo sasa. Nimejenga nyumba ya kuishi lakini sehemu ya biashara nimekodi na nikilipa mtaji wote unakwenda. Ahadi hii ya Lukuvi itatimia lini na sisi tulipe kama London au Stockholm?