Hivi yule mbunifu wa simu kutumika kama remote amefika wapi kwa sasa?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau kuna jamaa aliwahi kutangazwa na vyombo vya habari kama sijakosea ilikuwa ITV akielezea jinsi alivyobuni simu yake kama Remote ya kuwasha na kuzima bulb,kufunga na kufungua gate n.k.Wadau wengi walishauri Serikali kupitia Chuo kikuu wajaribu kukutana na huyu mbunifu wamsaidie. Je huyu jamaa bado yupo na je ubunifu wake umefikia hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2019-12-22-01-02-58-136_com.duokan.phone.remotecontroller.peel.plugin.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah kuna simu nyingi tu tayari unaweza kuzitumia kama remote. Nilishatumia hivo kwenye huawei yangu kucontrol TV na AC.
Wadau kuna jamaa aliwahi kutangazwa na vyombo vya habari kama sijakosea ilikuwa ITV akielezea jinsi alivyobuni simu yake kama Remote ya kuwasha na kuzima bulb,kufunga na kufungua gate n.k.Wadau wengi walishauri Serikali kupitia Chuo kikuu wajaribu kukutana na huyu mbunifu wamsaidie. Je huyu jamaa bado yupo na je ubunifu wake umefikia hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kuna app zinafanya yote hayo kupitia simu na sensor kwenye kifaa husika... Hii ni sayansi rahisi ya magnetism tuu... Ile concept ya remote control ndio hiyo hiyo inayoweza kufanya kazi na huko kwingine ikiongezewa vitu fulani
Wadau kuna jamaa aliwahi kutangazwa na vyombo vya habari kama sijakosea ilikuwa ITV akielezea jinsi alivyobuni simu yake kama Remote ya kuwasha na kuzima bulb,kufunga na kufungua gate n.k.Wadau wengi walishauri Serikali kupitia Chuo kikuu wajaribu kukutana na huyu mbunifu wamsaidie. Je huyu jamaa bado yupo na je ubunifu wake umefikia hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Yaaan hicho ni kitu kidgo sana boss,yaan unahitaji arduino packages na app inayoendana nayo....yaani watoto wa primary huko mambele ndo wamfundishwa ,huku tunataka serikali imchukue....daah
Mimi niliyemuona alikuwa anatumia nokia ki tochi, so app wala nini.
 
Hicho kitu kinafanyika mara kibao na wanafunzi wa form 3 shuleni kwetu. Ufundi wa kitoto sana

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom