Hivi yule kamishna wa TRA bandarini mwenye lugha chafu yupo?

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Miaka ya nyuma 2007-2009 Kuna kamishna flani wa TRA bandarini Dar boti za Zenji zinapotia nanga alikuwa na nyodo, ngebe na dharau sana. Yanianatukana Kenge wewe kwa abiria akikagua mizigo . Aliniitukanaga Kenge mbele ya ex wangu aliyenileta Denmark yani nikikumbugaka nammaindi kichiz . Na siyo mimi tuu yani yeye ni kutukana Kenge wewee kwa jazba.

Wengi mnaosafiri sana kwenda na kurudi Dar Zenji huenda mnamfaham na mmekumbana na hii kadhia.

Je bado yupo hapo Bandarini? Narudi bongo likizo karibuni na hii safari ni zamu yake kula vitasa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
10 to 12 years down the line bado umeyaweka moyoni?

What happened to forgiving and moving on?

Kumtafuta sio solution. Forgive and forget. Wewe ndie unaebeba mzigo moyoni.....For nothing.
 
Back
Top Bottom