Hivi yule Dr. Bishop Mpemba wa Redio Kwa Neema, aliishia wapi?

kkarumekenge

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,708
1,026
Hivi yule Dr. Bishop Mpemba wa Redio Kwa Neema huko Mwanza aliishia wapi? Jamaa yule ambaye alikuwa akihamasisha watu juu ya kuchinja hadi mchungaji mmoja huko Geita akachinjwa yuko wapi? Jamaa yule mpenda misifa, mzungumza Kiingereza ambaye tuliambiwa anatafutwa na polisi wa Kimataifa alishakamatwa? Mwezie Sheikh Ilunga alifariki dunia kitambo. IGP Mangu wakati huo RPC wa Mwanza alisema watu hao wanatafutwa na serikali imeomba Interpol iwasaidie mbona hatupi majibu ya utafutaji huo? Jamani yuko wapi Bishop Mpemba? Mtujuze!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom