una uhakika na unayoyasema??
Nani kamuua Musando mkurugenzi wa tehama.
nani aliyemfyatulia risasi yule mbunge wa kule Mombasa.
nani anayefyatulia risasi waandamanaji?
nani anayegonga na gari wakenya masikini.
tafakari kwa kina bila kuegemea upande wowote.
Msando aliuwa na watu wa NASA ili wapate njia ya kuanzisha vurugu kwani walijua hawatashinda katika sanduku la kura! GEMA na Kalenjins mashabiki wa Jubilee wana kura 8.1(GEMA) million na 3.0million(Kalenjins vote),(jumla 11 million kama opening balance)sasa sehemu mbili tu zamtosha Uhuru kushinda na chache za Wasomali, Waluhya, Wamasaai na Pwani ni nyongeza. NASA walikuwa wanalenga kwenye nusu mkate hata kabla ya uchaguzi wa 8/8//2017.